KESHENI NYAJI
Member
- Nov 6, 2016
- 7
- 2
Hizi technical colleges subiri mkuu watoe majibu wataposti kwenye wepsite ya nacte. na kutakuwa na option ya kujua chuo ndugu yako alichopangiwa. Nadhani bado wanaendelea na mchakato.Kibaha college of health and allied science