Naendelea kufanyia wanafunzi application za vyuo

rennesha

Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
63
Reaction score
38
Kwa wale wanafunzi mliojaribu kufanya application kwenda vyuo vikuu kwa awamu ya kwanza na pili na ukakosa basi fahamu kuwa kuna kitu unakosea.

habari njema ni kwamba TCu wametoa nafasi kwaajili ya kufanya application ya kwenda vyuoni kwa mara ya tatu na mimi binafsi hiyo kazi nimeshaifanya kwa awamu zote mbili kwa mafanikio makubwa(wanafunzi 35 washapata vyuo awamu zote mbili )

kama utapenda nikufanyie application tafadhali piga nambari 0789805698, maana awamu hii ndiyo ya mwisho ukileta mchezo tena hapa kujifanya unajua kuapply ujue utaangukia pabaya, wahi sasa.
 
kwamba ww ndo unapita ya mkato au??? sio ili mlad upate chuo ila unacho kisoma unakitaka. au unafanyia tcu????? . online application special 4 u???? ndo mana nimekuuliza kivp???
 
kama huelewi tulia.

wanaotaka kufanya applicationa wameshanitafuta
 
  • Thanks
Reactions: Pep
kabla kucomment rudi kwenye post yangu iliyopita uone nimefanyia watu wangapi application kutoka hapahap JF.
Wewe ni Tapeli tu kama Matapeli wengine!

ONLINE APPLICATION SYSTEM (OAS) za vyuo vyote wameeka namba za simu za kuomba msaada incase Mwanafunzi amekwama ktk online process, na vyuo vingi vinafanana application interface, na zote ni USER FRIENDLY mf AOS za ISW, WI, MUST, NIT na MUHIMBILI Univ - hao ote wanatumia SIMS!

MADINI na CBE wao wanatumia SARIS! Hakuna namna yoyote wewe ya kuwaibia watoto watu vijihela vyao! Wewe kuwasaidia kuapply na kuwaibia sio sababu ya wao kupata ADMISSIO!

Hizi hapa ONLINE Support za baadhi ya Vyuo:

WATER INSTITUTE
0717210880 & 0742990140

UDSM:
Technical Support
+255 716 21 6308
+255 623 668950
+255 76 553 7512
support@udsm.ac.tz
Payment Issues
malipo@admission.ac.tz

NIT
IT Support:
0754283703.
Admissions office at 0752413123, 0762202215, 0782422199

Ndio maana nikasema, wajinga ndio waliwao! So endelea kuwatapeli watoto wa watu!
 
Mie nmesha apply kwa dogo but kila nikiingia nacte kwenye ile sehemu ya kulog in kuangalia kama kachaguliwa au la siioni,msaada please
 
Chuo gani Mkuu? Kama ni diploma issue ni yeye na chuo, aulize chuo chake km majina yashapelkwa NACTE! kama ni degree, TCU wanahusika, TCU wanapokea applicants kutoka vyuo, then vyuo vinasubiria approval kutoka TCU, mf kwa sasa 3rd round appln inaendelea !
 
Yeye nmemuombea certificate ya medicine pale kibaha college of health and allied science
 
Ukiingia nacte huwezi kuona kitu, cha msingi nenda kwenye vyuo husika ujaribu kuangalia tumia username na password zako ulizotumia wakati unaomba chuo. Mimi nimefanikiwa kwa hili.
 
Mkuu nimefungua site ya chuo but ukiifungua tu inakudirect moja kwa moja kwenye severs za nacte na siyo wao kama wao
 
Back
Top Bottom