Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,976
- 14,481
Nyota yake imeng'aa sana, hayupo kwenye mfumo Lakini imani yangu kwake ni kuwa atashinda urais 2030
Kupitia chama gani mkuu?Nyota yake imeng'aa sana, hayupo kwenye mfumo rakini imani yangu kwake ni kuwa atashinda urais 20301
Chama kipi au january umekuja kujisafishaNyota yake imeng'aa sana, hayupo kwenye mfumo rakini imani yangu kwake ni kuwa atashinda urais 20301
sidhani huu mwaka kama atakuwa haiNyota yake imeng'aa sana, hayupo kwenye mfumo rakini imani yangu kwake ni kuwa atashinda urais 20301
Kama 20301 ya Bumbui (wenyewe Wasambaa mnairemba mnaiita Bumbuli) sawa lakini kama ni 2030 tunayoijua sisi huyo kipara ngogo mtamchaguaga wenyewe huko usambaani.Nyota yake imeng'aa sana, hayupo kwenye mfumo rakini imani yangu kwake ni kuwa atashinda urais 20301
Mbona umeamishia mada kwetu wasambaa mkuuKama 20301 ya Bumbui (wenyewe Wasambaa mnairemba mnaiita Bumbuli) sawa lakini kama ni 2030 tunayoijua sisi huyo kipara ngogo mtamchaguaga wenyewe huko usambaani.
Ni kweli mkuuNyota yake imeng'aa sana, hayupo kwenye mfumo rakini imani yangu kwake ni kuwa atashinda urais 20301
í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸Mbona umeamishia mada kwetu wasambaa mkuu
Sijapenda
Hafai kuongoza hata kundi la nyumbu isipokuwa chawa tu. Acheni kutuletea huu uchuro. Mwaka huo nitagombea mwenyewe niwakomboe toka kwenye uchawa ukunguni, ufunza, uluba na usamia.Nyota yake imeng'aa sana, hayupo kwenye mfumo Lakini imani yangu kwake ni kuwa atashinda urais 20301
Kapotezwa na Kikwete kwakuwa alionekana eti anamfunika Ridhiwani, wale wote very ambitious kiti cha unyapara mkuu eti inabidi wafanyiwe figisu kwa kuwa mwana wa mfalme amepoa kama uji wa mgonjwa lakini ndiyo hivyo kazi kubwa inaendelea kufanyika kumsafishia njia.Kipara kashapoteana kwenye medani za siasa
Go tell it to the birdsMwigulu ndo rais wako
Uko sahihi kabisa January lazima awe rais hiyo 20301, maana mwaka 20301,hakuna mtu awaye na hata wakuu zako hawatakuwepoNyota yake imeng'aa sana, hayupo kwenye mfumo Lakini imani yangu kwake ni kuwa atashinda urais 20301
Kama atakuwa hai kwanzaUko sahihi kabisa January lazima awe rais hiyo 20301, maana mwaka 20301,hakuna mtu awaye na hata wakuu zako hawatakuwepo