Wadau niaje?Nina tatizo la kwenda mwendo mrefu nikitumia kondom.naweza nikaenda zaid ya saa cha kwanza natumia dakika 30 hivi.naona ni tatizo Kwan inafikia hatua natoka mijasho mwili mzima kama nimemwagiwa maji.Pia inafikia hatua nabadili kondom maana inaisha yale mafuta naishia kumuumiza mwenzangu.Hali hii hunifanya niishie kuuza mechi ili niweze tu kukojoa.Nikienda dry nachukua muda mfup kama 20 dakika hivi.Hali hii inanifanya niwe katika hatari ya kuambukizwa Ukimwi ma wakati mwingine naogopa kabisa kuwa na msichana ambae sijapima nae.Msaaada jamani nifanyeje?