Naenda Moshi

neo1

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
576
Reaction score
845
Habari wana jamii!!!,me naenda kesho moshi,naenda kwenye harusi ya dada yangu.....

Nafaham kuna watu wamekosa nafasi ya wanataka kuchepuka weekend na kurud jumapili kwa ajili ya kazin jumatatu!.

Kama kuna mtu wa namna hiyo naomba lifti kwenye gari kama anayo na tuta share coast/mafuta wakati wa kwenda.nko mm na wadogo zangu so company ya kutosha hutaboleka.

Kwa kaz ni mwajiliwa ila gari yangu ina sumbua zaid njoo pm au nipigie 0788444703 tupange zaidi!.

Ahsanten na sikukuu njema wana jf!
 
Kama hao wadogo zako ni wa kike na wana umri wa miaka 20 kuendelea, lifti utapata.
 
Kama hao wadogo zako ni wa kike na wana umri wa miaka 20 kuendelea, lifti utapata. ni pM tu nikupe maelekezo jinsi ya kuonana
 
Kama hao wadogo zako ni wa kike na wana umri wa miaka 20 kuendelea, lifti utapata. ni pM tu nikupe maelekezo jinsi ya kuonana

Mmoja wa kike mwingine wa kiume.
 
Sasa unatafuta nni kwenye magari ya wanaume wenzio na ulivyoandika nikajua mtoto wa kike

Uhitaji humpata mtu yyte...ahsante kwa changamoto zako ila yote ni sababu ya usafir wa kaskazin ulivyoshida kwa msimu huu...
 
dah.. nipo chalinze hapa naenda huko huko vipi nikupe lifti?
 
Sasa unatafuta nni kwenye magari ya wanaume wenzio na ulivyoandika nikajua mtoto wa kike

Ayiiii.......mkuu basi........msaidie tu......we mkali sana bana........
 
Ayiiii.......mkuu basi........msaidie tu......we mkali sana bana........
Angenyoosha maelezo tu akasema bwana wee kama kuna mtu anaenda moshi kesho anitafute twende wote nitachangia gharama za usafiri sio tena anaanza kuleta habari za sjui mchepuko, sjui ilienda ikarudi sisi takajua samaki kesha nasa kwenye ndago
 
Uhitaji humpata mtu yyte...ahsante kwa changamoto zako ila yote ni sababu ya usafir wa kaskazin ulivyoshida kwa msimu huu...

basi mkuu samahani sana bhana, ila maelezo yako yalikuwa hayajanyooka ndio maana
 
dah.. nipo chalinze hapa naenda huko huko vipi nikupe lifti?

Ahsante ndugu kwa moyo wa kutoa ila ndo umefika mbali,pia safari yangu iko kesho ndugu!
 
nitumie namba za huyo mdogo wako wa kike bac..njoo pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…