Naenda kummaliza nguvu za kiume!!!

Naenda kummaliza nguvu za kiume!!!

Atagawaje utamu nje?
Mimi tulikubaliana kuwa tupo wawili mimi na muke mukubwa.
Sasa kagawa utamu kwa mutu mwingine.
Hapa nipo morogoro kesho naenda mlimani kwa mzee sabini kumuvunja nguvu isisimame nje.
Isimame kwetu tu.
Hawezi kutuchezea
Mpeleke Temeke kwenye tego wanasane.
 
Mpaka mkawa wawili tatizo lilianza zamani aliyeanza alishindwaje kubaki peke ,
 
Atagawaje utamu nje?
Mimi tulikubaliana kuwa tupo wawili mimi na muke mukubwa.
Sasa kagawa utamu kwa mutu mwingine.
Hapa nipo morogoro kesho naenda mlimani kwa mzee sabini kumuvunja nguvu isisimame nje.
Isimame kwetu tu.
Hawezi kutuchezea

mambo??
 
ulidhani wewe unachamaana sana mpaka asipige kazi zingine?
 
Sidhani kama huo uamuzi ni sahihi.

Je ikilala moja kwa moja itakuaje?. Na we utakosa huo utamu.
 
Atagawaje utamu nje?
Mimi tulikubaliana kuwa tupo wawili mimi na muke mukubwa.
Sasa kagawa utamu kwa mutu mwingine.
Hapa nipo morogoro kesho naenda mlimani kwa mzee sabini kumuvunja nguvu isisimame nje.
Isimame kwetu tu.
Hawezi kutuchezea
Zahra White; sie tulikuambia "kunguru hafugiki" wewe
ukasema yeye sio kunguru wa kwanza kufuga.
Nadhani umetambua kuwa kuna tofauti ya "kunguru" na "kungulu".
 
Atagawaje utamu nje?
Mimi tulikubaliana kuwa tupo wawili mimi na muke mukubwa.
Sasa kagawa utamu kwa mutu mwingine.
Hapa nipo morogoro kesho naenda mlimani kwa mzee sabini kumuvunja nguvu isisimame nje.
Isimame kwetu tu.
Hawezi kutuchezea
Mpige double... kadudu kasinyae sinyae na pia mwongezee kamshipa.. ni nlazima akome. chazea Zahra white wewe
 
Dah yaani mke mkubwa hana moja ila mwizi ndio anataka kuharibu,kwa nini usimuache tu kama ni kicheche,muonee huruma mwanamke mwenzio.
 
Back
Top Bottom