Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 576
Atagawaje utamu nje?
Mimi tulikubaliana kuwa tupo wawili mimi na muke mukubwa.
Sasa kagawa utamu kwa mutu mwingine.
Hapa nipo morogoro kesho naenda mlimani kwa mzee sabini kumuvunja nguvu isisimame nje.
Isimame kwetu tu.
Hawezi kutuchezea