Naona Ben Saanane anapiga mkwera mzito kweli kweli,
hembu muulize mfupa ulomshinda fisi atakuwa na meno ya kuububuna?
Naona Ben Saanane anapiga mkwera mzito kweli kweli,
hembu muulize mfupa ulomshinda fisi atakuwa na meno ya kuububuna?
Mamndenyi mtu pekee anayeweza kummudu Madame B ni bishanga,huyu mtoto ana matumizi ni baaarrraaa kina Ben Saanane hawamuwezi vinginevyo wataishia kuuza vihamba vyao,au sio Remote? ( nasikia madame b kakulamba vidolar vyako vyote umerudi ulaya mtupu).
Mamndenyi
picha ndo limeanza ngoja tuone mwisho wake,
kama Ben Saanane kaanza kuwazia kutoa tamko ujue litakuwa si zuri.
Slave naamini Ben Saanane keshakula kale kanyama kwa pale mahali
hawezi kuwa na maamuzi magumu kwa Madame B.
kale ka one week ?hahaahaha masikini Ben Saanane bora amuachie mzee Bishanga amuonyeshe yale mavitu ya kile kijiji cha kule kwao kijiji chenye jina linalofanana na jina la kazi za wakuubwa.
Mamndenyi mtu pekee anayeweza kummudu Madame B ni bishanga,huyu mtoto ana matumizi ni baaarrraaa kina Ben Saanane hawamuwezi vinginevyo wataishia kuuza vihamba vyao,au sio Remote? ( nasikia madame b kakulamba vidolar vyako vyote umerudi ulaya mtupu).
Shem wangu Mamndenyi unataka nichukue maamuzi magumu ili unufaike.Uzime taaa?hahahaSlave naamini Ben Saanane keshakula kale kanyama kwa pale mahali
hawezi kuwa na maamuzi magumu kwa Madame B.
Mamndenyi
Ndo wewe uliyemtumia milioni 5 jana halafu ukawa unamtumia message kwamba hizo ni zako tu ila usinielewe vibaya?Tulicheka sana ila kuna mijamaa mingine bwana,loh!
Mamndenyi unaanza kuwa na wasi wasi wa nini,? Au unazani ya wiki moja inanihusu ?
ben wewe unacheka kuona mkeo katumbukiziwa 5ml ? Ama kweli kuna wanaume wameumbwa bila nyongo ya wivu.