Mbunge wa CCM
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 475
- 22
Katika kipindi cha wiki tatu nitafanya safari kadhaa katika nchi takriban nne hivi ikiwa ni katika kuweka sawa masuala yangu huku ughaibuni kwani februay nitarejea nyumbani ambapo pamoja na mambo mengine nitatangaza rasmi nia yangu ya kugombea ubunge jimboni kwangu.
Ntarajia kugombea ubunge kupitia jimbo la uchaguzi kwa tiketi ya ccm. kutokana na ukweli kwamba kura za maoni za ccm zitapigwa na wanchama wote, ni wazi kuwa kazi ya kuweka mambo sawa jimboni ni kubwa zaidi kuliko katika chaguzi zilizopita. Tayari timu yangu iko jimboni kwa wiki kadhaa sasa na ninalazimika kwenda huko mapema kuiongezea nguvu hasa ikizingatiwa kuwa baada ya march nitakuwa tena na safari nyingine za ngambo.
Kutokana na ratiba yangu kuwa ngumu katika kipindi hiki, ni wazi sitaweza kuwa na muda mwingi ndani ya JF halikadhalka nikiwa jimbon siaweza kupata connection ya uhakika ya internet na hivyo nitawamiss sana wapendwa.
Nawatakien kila la her na tuendelee kuombeana heri katika harakati mbalimbali tuanazofanya kwa manufaa yetu na nchi yetu
asanteni
I will miss you too,ila nimesikitika sana kwamba unagombea kupitia CCM,sina imani kabisa na chama hiki.Who is your opponent kwenye hilo jimbo unalotaka kugombea?are you sure utapita kweli kwenye kura za maoni?
Goodluck
Fungua jina lako tuanze kukupima, kukupa nasaha, uzoefu wetu na huenda baadhi yetu tunastahili kuwa campaign Managers wako au wapigadebe wako.
ccm sio mbaya, watu ndio wabaya na kama mtanzania kijana ninayekubalika jimboni na watu wa kada balimbali, naamini ninalo jukumu la kuchangia chachu ya mabadiliko ndani ya ccm na hatimaye itatimiza matarajio ya wanachi. kumbuka mkuu, mkono ukichafuka haukatwi bali hsafishwa! tutafika tu.
kuhusu ushindi, sina shaka hata idogo mkuu, nitapita tu. tuombe uzima
Kwanini unataka kugombea ubunge? Kutumikia wananchi? kwa huwezi kutumikia kwa njia nyingine? ....utaleta kipya gani ndani ya CCM?

Geoff,kumbe wewe ulijiunga MAALUM kwa ajili ya hilo tu....!lolz
idumu jamiiforums
kumbe wewe ulijiunga MAALUM kwa ajili ya hilo tu....!lolz
idumu jamiiforums
kuna mtu aliniambia anataka kugombea ubunge na nikamuuliza same questions!!!! ndugu mgombea kuna njia nyingi unaweza kuwasaidia wananchi kuleta maendeleo not necessarily uwe mmbunge but if you think that is the best way way you can do so....goodluck.
tunasubiri jina na jimbo!!!
hey lets go home baby!
Amba ajiandaeje kupambana na ufisadi wakati na yeye anaenda huko huko?umejiandaaje kukubidiana na mafisadi?