Naenda chuo mwaka huu

Hivi ni lazima kila mtu asome, wewe unaonekana ni kilaza pro max..list ndo kitu gani?
 
Hivi UDOM bado ni chuo cha kata? 2008 wakati tunaanza chuo tuliwatania sana jamaa wa udom, kumbe wao wakachukulia personal ilikuwa chuki kali sana .
Wao wanajua kuwa ni kata ila tunawatania tu tuone reaction zao😅
 
Achana na wapumbavu mkuuuu
 
Hivi nyie manaosema niache kusoma kisa nimekosea kuandika ninani Kati yenu hajawahi kukosea kuandika au hata kuchapia kweny kuongea sikieni nakubali uandishi wangu so mzuri sawa Haina shida Ila naona madam imebadilika badala nijibiwe swali nililo uliza Sasa naanza kuambiwa niache shule, we Kama hujaelew nilicho kiandika Hapo juu we pita tu sio lazima ukoment na Kama umeona Kuna makosa na umeelewa kilicho andikwa niambie bwana umekosea Ila sio unishauri niache kusoma na Kama wote wangeacha shule kisa makosa yanayorekebishika sijui ingekuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…