Naelekea kunasa naombeni ushauri

Kama upo dar au miji mikubwa kuwa makini na yafuatayo...
Kutapeliwa
Kupewa ugonjwa
Kutumika kama cover/ bridge
Kupimwa uamunifu
Kupata mke.
 
Dunia ya leo hata wanawake hawausemei moyo! Wanashambulia.

Jiridhushe tu halafu endelea kama mtu aliyeiona target
 
Yeye anasema amekujuaje na namba yako ameipataje mbona na wewe umejirahisisha hivyo.... Unajifanya umebobea kufanya uchunguzu wa intelligence kumbe bure kabisa key questions kama hayo huku hoji the power of k ni noumer........

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtego unetegwa ukikanyaga waya tu unalipuka so kaa mbali kuna wabaya wako wamemtuma
 
Sasa kama kadogo halafu kanakupigia wewe mtu mzima uende
na unaenda....kwa nini kasipate ujasiri?

halafu ilikuwaje?ulitafuna meno huku kanakupa live kana kutaka?
Ha ha ha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…