mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Wana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za video zinapanda you tube
Wana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za video zinapanda you tube
Kamanda nakutakia safari njema.Wana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za video zinapanda you tube
Umeshaondoka Dodoma..!?Mkuu mwishoni mwa wiki ijayo nami nitakuja kujionea kama mtu huru. Bila shaka tutaonana.
Sasa wewe nimekusaidia gari kinyemela halafu unalirusha hewani, unataka mi nifukuzwe kazi hapa Wizarani!? Hujui kuwa mi nawadanganya kuwa mi ma-gamba japo nawachimba chinichini....na hilo gari wanalijua.Nashukukuru nimepata gari binafsi la mtu T410AVA nauchapa mwendo
mkuu weka picha ya hilo gari hapa jamvini tuone kama kweli ni la serikali ya magamba.Sasa wewe nimekusaidia gari kinyemela halafu unalirusha hewani, unataka mi nifukuzwe kazi hapa Wizarani!? Hujui kuwa mi nawadanganya kuwa mi ma-gamba japo nawachimba chinichini....na hilo gari wanalijua.
Umuhimu wa kudhibiti hawa Makanjanja haswa wanapotumia Fedha za walipa kodi kunyang'anya haki lazima ufanyiwe mkakati maalumu wa kuukomesha,Mwigulu kijana mdogo mwenye uwezo mzuri lakini yeye kuingia CCm amekuwa jambazi na mbaka haki za wananchi hana aibu kabisa,Mwizi ,mrafi wa kisiasa,lazima aanikwe na wewe mgeni wenu tunakulaumu unakuja hapa kusema eti ooh igunga ulifanya hivi ooh ilikuwa hivi na hivi ,utakuwa wa maana sana kwenye nchi yetu kama utasaidia kukomesha vitendo vya dhuluma wanavyofanya CCM na serikali yake pamoja na watu kama Mwigulu usiruhusu kabisa ujinga wa aina hiyoWana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za video zinapanda you tube