kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,757
Kila mtu ana jambo jema ambalo JF imememsaidia kwa namna moja ama nyingine.Kwa upande wangu nimefaidika mengi na mtandao huu.Leo narudisha shukrani kwa kuitengeneza video clip ya sekunde 10 ikiwa ktk Motion Graphics.Kwa wale Mabingwa wenzangu wa jukwaa (Tech, Gadgets & Science Forum) nakaribisha maoni/mawazo ya kiufundi na hata pongezi pia kuhusu video hii.Nimetumia Adobe Photoshop na Adobe After Effect.Kaka Maxence Melo na timu yako ya uongozi mzima wa JF kama utahitaji vitu kama hivi usisite kunipa ajira,Mdogo wako nimechoka kukaa kijiweni bila kazi :wof::wof::wof::wof:.
Last edited by a moderator: