Nadhirisha Upendo wangu kwa Jamiiforums

Nadhirisha Upendo wangu kwa Jamiiforums

hii ikipata airtime CNN itakua poa sana big up kadoda11 😛oa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kazi nzuri sana nadhani Melo ataichukua aiweke kwenye Archive iwe kumbukumbu nzuri sana kwa wana JF wote.
 
Wewe jaribu kuleta thread inayoyasema mabaya ya CHADEMA ndo utaona!!!! Au inayolaumu ukristo, mada hiyo itafutwa. lakini inayoutukana Uislamu itaachwa hata kama ni miaka miwili.
acha uchochezi kijana
​
 
Kadoda maana yake mvulana/wa kiume...... Au hukumaanisha hivyo mlongo wangu kadoda11?
hongera sana kwa clip
mewawa dada yangu.kadoda maana yake mvulana wa kiume mjanja mjanja.
 
mnanitamanisha kuiona. Don worr kadoda11. Biashara matangazo
 
mnanitamanisha kuiona. Don worr kadoda11. Biashara matangazo
kweli brother.rafiki yangu mmoja mwenye BA in Marketing aliniambia "if you don't advertise yourself you will be advertised by your loving enemies".
 
Wewe jaribu kuleta thread inayoyasema mabaya ya CHADEMA ndo utaona!!!! Au inayolaumu ukristo, mada hiyo itafutwa. lakini inayoutukana Uislamu itaachwa hata kama ni miaka miwili.

peleka malalamiko yako jukwaa la compliments na malalamiko, Invisible atakusikiliza, ahsante
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom