Nadharia ya Kuchezea Sheria kwa Manufaa ya Kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nadharia ya Kuchezea Sheria kwa Manufaa ya Kisiasa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mafuchila, Oct 6, 2009.

 1. M

  Mafuchila JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2009
  Joined: Apr 29, 2006
  Messages: 752
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  WanaJF,
  Mahakama ilishatoa hukumu kuwa serikali iandae mazingira yatakayowesha wagombea huru kushiriki katika chaguzi zetu. Sasa tunajindaa kuingia kwenye chaguzi zetu huku serikali ikionyesha dhahiri kuwa haina nia ya kuruhusu mgombea huru.

  Katika mazingira haya serikali yetu inamtumikia nani? na inatupeleka wapi? kama ushauri wa Bunge unapuuzwa na Mahakama zetu sinadhihakiwa!
   
 2. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tunamsuburi Mtikila aende tena Mahakamani maana Mahakama iliamua muda mrefu sana ila Serikali ilipeleka pingamizi na hivyo ndio wanasubiri, Ndio maana kwa sasa kuna migongano mikubwa sana katika jamii yetu
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Huo sio utaala wa sheria. Ni lazima maamuzi ya mahakama yaheshimiwe.

  Na kama Serikali imeweka pingamizi ni budi mahakama iharakishe kulitolea maamuzi pingamizi hilo kisheria ili maamuzi yake yawe ndio mwongozo.
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Oct 8, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sio pingamizi ni rufaa. Kesi ikishatolewa maamuzi (Judgment) kuna pingamizi tena? Maamuzi ya Mahakama Kuu yalikuwa haya yafuatayo katika Kesi yaCHRISTOPHER MTIKILA v. THE ATTORNEY GENERAL, MISC. CIVIL CAUSE NO. 10 OF 2005, ( HC) (Unreported):
  "We shall also declare kin the present case that in principle it shall be lawful for private candidates to contest for the posts of president and Member of Parliament along with candidates nominated by political parties. However unlike the learned late judge we will not just leave it at that. Exercising our powers under any other relief as prayed in the petition and cognizant of the fact that a vacuum might give birth to chaos and political pandemonium we shall proceed to order that the Respondent in the true spirit of the original Article 21(1) and guided by the Fundamental Objectives and Principles of State Policy contained in Part 11 of the Constitution between now and the next general elections, put in place, a legislative mechanism that will regulate the activities of private candidates. So as to let the will of the people prevail as to whether or not such candidates are suitable. As this is a public interest litigation the parties shall bear their own costs."

  "It is so ordered."

  A.R. MANENO
  PRINCIPAL JUDGE

  S.A. MASSATI
  JUDGE

  T.B. MIHAYO
  JUDGE

  05/05/2006

  Serikali ilikata rufaa dhidi ya uamuzi huo wa Mahakama Kuu uliotolewa tarehe 05/05/2006 kwa kudai kwamba ilihitaji tafsiri ya Mahakama ya Rufaa kwamba mabadiliko ya vifungu vya Katiba kuwa declared unconstutional ni sahihi au la, kulingana na Petition ya Mtikila: "A declaration that the Constitutional amendment to Articles 39 and 67 of the Constitution of the United Republic of Tanzania as introduced by amendments contained in Act No. 34 of 1994 is unconstitutional."
   
Loading...