Nadhani tumeelewana...


Asprin usifanye nikasimama juu ya meza hapa bar nikaonekana kituko...

wazee mabint wanawapenda kwa kuwa hamuwatoi jasho na mnafunguka tu mihela...

akikukuna kitambi...akicheza cheza na nyeti zako...kituuuu...wazungu haoooo...hata bao la kichwa hufungi!...

pia hamna usumbufu maana ukifika kwa mkeo ndo kigoma hutampigia sim wala nini...

sasa ndo anatafta vijana wakachochee na kusimami kama baiskeli...mpaka maji yana mwishia mwilini...LOL
 
Last edited by a moderator:

sobhuza uko karibu na bar?...hebu kunywa ndovu sita uniletee risit jumatatu...

huyu babu anacheza na mziki wa vijana aisee...unakumbuka zile pump za za baiskel?...unajua jinsi ya kuzitumia?...ile movement yake sasa ndo inakua mpango mzima juu ya mwili wa mwanadamu...
 
Last edited by a moderator:

Ndo taabu ya dot.com, unakimbilia Google bila kufahahamu kuwa wao wamechagua lahaja ya Saudia kama kiarabu chao, we unajua mi nimeandika dialect ya wapi?
Katika kuumbua kuna kuumbuka pia.
 

Yale sio mafujo wewe, ndo mapenzi yenyewe hayo. Masikini zilipendwaa...
 
Last edited by a moderator:
Huu ***** ndo baadae unasababisha lawama kuwa JF haipo hewani kumbe ***** umejaa kwenye server!
 
Huu ***** ndo baadae unasababisha lawama kuwa JF haipo hewani kumbe ***** umejaa kwenye server!

Uzuri hili ndo jukwaa la huo unyotanyota, afu kakudanganya nani kama unyotanyota unajaza server?
 

hahaa! laadhidhi nashukuru km mwalitambua hlo... meipenda baiskel ya kukodi!
 
Last edited by a moderator:
laadhidh nimecheka mpk nimepaliwa mate, kumbe nawe hujanielewa n-way i meant mependa statement "baiskel ya kukodi"
 
Uzuri hili ndo jukwaa la huo unyotanyota, afu kakudanganya nani kama unyotanyota unajaza server?

unyotanyota hahahaa... umenkumbusha lecturer wetu m1 akifundisha km hamjaelewa anaulza vp mnaona nyota nyota nini?
 
unyotanyota hahahaa... umenkumbusha lecturer wetu m1 akifundisha km hamjaelewa anaulza vp mnaona nyota nyota nini?

Bwahahahaha, asiwe lekchara wa vodafasta tu huyo... Hani ngoja niangalie Bilbao vs Catalunya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…