Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,091
- 136,613
Zaidi ya mwaka mmoja na nusu uliopita nilianzisha mada hapa kuhusu moja ya takwa langu dhidi ya hii serikali.
Mada yenyewe hii hapa Nataka rais Magufuli ashindwe
Nilisema wazi kabisa kuwa nataka jamaa 'ashindwe'. Siyo 'ashindwe' kwenye kila kitu. Hapana.
Bali 'ashindwe' katika kitu fulani kilicho mahsusi kabisa.
Sasa baada ya JF kupigwa ban ya wiki tatu nadhani sasa mlio wengi mtaelewa nilichokimaanisha kwenye hiyo mada yangu ya tarehe 13, Disemba 2016.
Kwa vile kusoma na kuelewa ulichokisoma ni janga la kitaifa, kuna watu hawakuelewa kabisa nilichokiandika wakati ule.
Walikuwa wakisoma wanaishia kwenye neno 'ashindwe' na kufikia mahitimisho yanayofurahisha akili zao.
Kuwa eti nimesema nataka 'ashindwe' lakini wanashindwa kuelewa nimesema nataka 'ashindwe' kwenye jambo gani hasa.
Nimeonelea ni vyema kukumbushana tena kulingana na kilichotokea.
Je, bado kuna wanaopenda kuona akifanikiwa kwenye hilo tamanio lake? Nitashangaa sana kama mkiwepo.
Zaidi ya hapo nimefurahi kuona tena JF imerejea hewani.
Na ni matumaini yangu hakutakuwa na uoga. Natumaini tutaendelea kuwa vile vile tulivyokuwa kabla ya 'ban'.
We've made it this far. Twelve years and counting. Now let's go for 20.
Stay woke folks.