Nasikia zile mashine za Muhimbili zimeshaharibika tena,, bilioni tatu ya matengenezo wajanja wamekula
Unafeli sana siku hizi!ni wapi uliambiwa zilitolewa Billion3?!
Ni million 3 na sio billion3 ndizo Rais alitoa
Zimewashinda mafundi sio Magufuli
Acha uongo wewe,,zilitolewa bilioni tatu na wizara ya fedha
Magufuli hajawatuma mafundi!
Kama hoja yako ni hiyo
Unatia aibu mama!!ni 3million and not 3billions,hivi kwa nini hua mnakurupuka na mambo ya uongo?
Na alipoongelea upotevu wa fedha za serikali kwa safari za nje alimkwaza mzee wamsoga!
lete ushahidi hapa,acha longo longo
Acha uongo wewe,,zilitolewa bilioni tatu na wizara ya fedha