Nadhani mliokuwa mnashangilia kipindi kile Kusini tulipopigwa na Serikali ya CCM sasa mtatuelewa

Kweli kabisa haki za binadamu' tamwa' jukwaa la wahariri, baraza la maaskofu, bakwata wote wametoa njaa tumboni na kuipeleka kichwani matokeo yake wameharibu akili zao, mfano leo tunaona wanaotajwa kuutaka urais wanavyopita makanisani na kuchangishsha pesa hali yakuwa nia nanadhumuni yao yanajulikana, halafu hata kina siye hawa jamaa wakitoa matamko tunaungana nao, inabidi ifikie hatua tuwaumbue unafiki wao,

inabidi sasahivi mtu akitoa tamko,tumuambie aende kwao akamtolea mama yake mzazi kwanza na familia yake
 
Barabara imejengwa kwa miaka 50 mpaka leo bado kilometa 60 katika kilometa 560 mtwara mpaka dar es salaam, ila bomba la gesi limejengwa ndani ya miezi 12 bado kilometa 5 katika kilometa 560 zilezile mtwara to dar………!!!
 
Unaona sasa ukiwa Genuine,angalia wake B7 wote wanaokuungaga mkono katika Mabandiko yako leo wako wapi??

Nadhani utakuwa umetambua namna ccm wanavyojua kucheza na akili za watu. sasa hapa ungekuwa umewashambulia Chadema as you did huko nyuma ungeona jinsi wangepangana hapa ndani kama kumbikumbi kwenye bulb nyakati za usiku hapa hata wake Rafiki zako kama Ritz Boko haram huwezi kuwaona kwasababu umeshambulia sehemu zinazowalisha!!

Anyway angalau kwa leo nakuunga mkono umeongea vema, Watanzania wote sisi adui yetu nu mmoja tu naye ni ccm. Tatizo ni ccm wanajua namna ya kupumbaza watu hapa pamoja na kelele zote unazopiga hapa ndani siku wakija na kukuambia Chadema ni chama cha kikristu na wachaga utawaunga mkono na kuwapigia kura!! Wakija wakakuambia UKAWA wametumwa na mataifa ya nje kwaajili ya kuchafua AMANI ya Nchi, unawaunga mkono na kuwapatia kura...!!

Tunasahau kwamba ccm wanatumia propaganda za namna hiyo kuwapumbaza ninyi/sisi ili wao waendelee kutawala tena na tena mpaka milele. Siku wote kwa pamoja tukitambua ulaghai wa ccm na kuupuza ndiosiku ambayo ccm ita step down kutoka madarakani. Jitahidi kutoa elimu kama wewe angalau umeshaelimika ili wanakusini wasilaghaike na kupumbazwa tena na hawa ccm. Nasema hivi kwasababu haitashangaza kuona ccm inashinda tena kwa kishindo huko kusini pamoja na kelele na madhira yote mliyotendewa na serikali yake huko nyuma

Tushikamane tumwondoe huyu nduli muuaji nchini petu

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Kama kwenye maandamano tuu haya wameshindwa kuungana wakaonesha umoja wataweza kwenye mengine? Yani maandamano yalikuwa ya chadema wakati kwenye mkutano tuliona wote wana kubaliana kuandamana lakini kwenye vitendo tukawaona chadema pekee na chadema wenyewe walikuwa wana tishia tuu!

Hawa wapinzani wamechelewa Sana kuungana na hata muungano wao hau wezi kuwa na nguvu kabisa maana wote ni wabinafsi na nina kuhakikishia!

Halafu kina nishangaza ni wao kutumia njia ambayo haikuwai kuwa na mafanikio kabisa.....


Ukiwaangalia wapinzani wenyewe kwa wenyewe wanaishi kwa taharuki kubwa na kutokuaminiana.

Its like wameshindwa kukaa chini na kuanalyse yale yaliyo ya msingi baina yao na kuyaacha yale yasiyo na msingi na kuangalia ni kwa namna gani kwa pamoja wanaweza kuiangusha ccm.

Ndipo hapo sasa ccm inapotumia hiyo loophole kuingiza mamluki kila kwenye chama cha siasa za kuwatenza nguvu kisha kupandikiza migogoro baina yao.

Kama hawataungana suala la kuiangusha ccm ni ndoto.

Na CCM iko tayari kufanya chochote hata kumwaga damu kuhakikisha haitoki madarakani.

Hilo tunaliona katika huu mchakato wa katiba.

Dalili ziko wazi kabisa.

CCM is planning something.

Na iko tayari kwa lolote.
 
Naona mantiki kwenye hili bandiko, it has drawn my attention, ngoja ninywe chai nitarudi baadae kuchangia kama hali ya hewa ita-remain constant!
 
Barabara imejengwa kwa miaka 50 mpaka leo bado kilometa 60 katika kilometa 560 mtwara mpaka dar es salaam, ila bomba la gesi limejengwa ndani ya miezi 12 bado kilometa 5 katika kilometa 560 zilezile mtwara to dar………!!!

Hivyo tunavitambua sana Mkuu.

Sasa hilo ni la bara bara ni moja tu...

Kuhusu miundombinu ya ndani na huduma za jamii kama hospitals maji shule vyuo na kadhalika just to mention but a few ndio usiseme.

Sisi hatuna hope na wanasiasa tokea hapo.

Hatujawahi kuwachukulia wanasiasa seriously.

Infact sisi tulishaukubali umaskini wetu.

Sema mungu si athumani alipotufungulia na gesi tukapata sehemu ya kushikia na kufa nayo.

Bado tutaendelea kushikilia sehemu hii.

Ila sio kutoa tumain kwa wanasiasa na kucheza ngoma zao tena.

Wapinzani pia wakitaka kuaminika ni sharti warekebishe tofauti zao na kuungana.

Wakiendelea kugawanywa km hivyo sisi tutawaona ni wale wale tuh.
 
Tokea siku nimeingia JF sijawahi kuwa na misimamo tofauti na The Big Show.

Zaid Zaid nimeboresha misimamo yangu zaidi.

Kutoka kwenye moderation towards extreminism.

Na hilo limekuja kwa sababu za msingi vile vile.

And i am so inlove with misimamo yangu.

Because i am always giving out The Big Shows.

The Big Show i am so mean...

I am capable of hospitalising the rocks...

Capable of giving injuries to stones...

Dangerous and so mean to the extent that i can make even the medicine sick.

mkuu
wanaosema andirons hili limejaa uzalendo tofauti na maandiko yako mengi ya hivi karibuni wanasema ukweli. Hivyo unayo hiari ya kuwasikiiza ama lah.
 
Barabara imejengwa kwa miaka 50 mpaka leo bado kilometa 60 katika kilometa 560 mtwara mpaka dar es salaam, ila bomba la gesi limejengwa ndani ya miezi 12 bado kilometa 5 katika kilometa 560 zilezile mtwara to dar………!!!

Mkuu hii ungeifungulia thread kabisa tutiririke kinaga ubaga.
 
mkuu
wanaosema andirons hili limejaa uzalendo tofauti na maandiko yako mengi ya hivi karibuni wanasema ukweli. Hivyo unayo hiari ya kuwasikiiza ama lah.

May be they are right.

May be the are wrong.

But i am just explaining the realities according to my views n knowledge.

I can just explain to them..but i can not take a chance to understand my explanations on behalf of them.

I am only responsible for what i speak...and not for their understanding or for their thinking capacity.

Not at all...
 
Hizi ndio zile misemo kuwa sitta anaipeleka ccm machinjioni zinatimia ......naona uhamasishaji umeanza kuonekana na Jf Ile tuliyokuwa tunashinda kusoma nondo zake Hatimaye kujiunga nayo inarudi tena.......
 
Leo umeamka na akili zako timamu kama zamani umeongea jambo la maana na kutia moyo sana endelea kuwaza hivyo daima dumu
 
Mjomba kweri kabisa watz wanafki. Wana ukabila , udini , ukanda ,kila mtu hanajua kumbe wanahungua Jua ,wavivu wa kufkili ,majungu , na hatupendani , Mjomba hivi kwann bahazi ya watz wa se nge walikuwa wanatucheka. Vyama pinzani vyote nakumbuka vili kaa kimya. Then leo hanatufundisha heti tuhandamane. Hakahandamane na Baba yake huko kaburini. Mjomba husifikilihe ukawa ni wapizani wakweli hawa ni mataperi wa chumia tumbo ( Chama pinzani Tanzania bado hakijazariwa )

Stupidity at its climax!
Kama wewe ndo unawakilisha kusini basi bado sana mtagongwa na bado mtaendelea kuichagua ccm! Wewe imsingi mwili unaweza kuwa upinzani lakini roho iko ccm! kama ukawa siyo wapinzani kwanini mnakesha kulinda ofsi na viwanja vya wazi kuzuia maandamano? Achani watu waandamane mpime kama wapinzani bado hawajazaliwa!
 
soon we will found out who is the real revolution who is! Bob Marley and the wailers
 
Back
Top Bottom