Nadhani kuna mtu aliharibu kanuni ya maisha

pureman2

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,491
Reaction score
2,563
Viumbe hai vina mahitaji makuu ya msingi ambayo ni hewa, chakula, na makazi. Binadamu pia Kwa utu na ustarabu wake pia uhitaji mavazi.

Mambo mengine ni ziada na si ya lazima Kwa mantiki kwamba hata yakikosekana huwezi kufa.

Huwezi kufa kwa kukosa mbususu, kukosa watoto, kutoenda shule, kutokua na gari, kutokua na TV, computer wala smart phone.

Katika hayo mambo ya msingi na ya lazima hewa ni bure, pia tumepewa aridhi bure ili tuzalishe chakula, na tutengeneze makazi.

Kwa maarifa na uthubutu binadamu alivumbua technolojia Ili kuboresha nyenzo za kuongeza ufanisi na tija katika uzalishaji. Technolojia ndio imezaa mazaga mengi na kutibua mzani wa maisha. Tofauti nyingi unazoziona duniani ni matokeo ya technolojia.

Back to the topic, mtu ambae ana drive agenda ya maisha amehakikisha anaimalisha propaganda kua bila technolojia hayo sio maisha and by doing so mzani na formula ya maisha imekua disturbed kabisaaa.

Leo hii usipokua na pesa au nafasi ya kupata maarifa na ujuzi maisha utayaona magumu. Hakuna elimu, huduma za afya, makazi, chakula, au mavazi pasina technolojia, na hakuna technolojia pasina pesa; and then maisha yamegeuka kuwa hursle.

Ukitaka kuyaweza maisha resume fundermental life and then enjoy the life
 
Vile maisha yalipo fika sasa hamna namna inawezekana kama unavyosema, muhimu ni kutumia akili ambayo kiasili ipo kwa ajili ya kuyakabili mazingira na athari zake.
 
Viumbe hai vina mahitaji makuu ya msingi ambayo ni hewa, chakula, na makazi. Binadamu pia Kwa utu na ustarabu wake pia uhitaji mavazi.

Mambo mengine ni ziada na si ya lazima Kwa mantiki kwamba hata yakikosekana huwezi kufa.

Huwezi kufa kwa kukosa mbususu, kukosa watoto, kutoenda shule, kutokua na gari, kutokua na TV, computer wala smart phone.

Katika hayo mambo ya msingi na ya lazima hewa ni bure, pia tumepewa aridhi bure ili tuzalishe chakula, na tutengeneze makazi.

Kwa maarifa na uthubutu binadamu alivumbua technolojia Ili kuboresha nyenzo za kuongeza ufanisi na tija katika uzalishaji. Technolojia ndio imezaa mazaga mengi na kutibua mzani wa maisha. Tofauti nyingi unazoziona duniani ni matokeo ya technolojia.

Back to the topic, mtu ambae ana drive agenda ya maisha amehakikisha anaimalisha propaganda kua bila technolojia hayo sio maisha and by doing so mzani na formula ya maisha imekua disturbed kabisaaa .

Leo hii usipokua na pesa au nafasi ya kupata maarifa na ujuzi maisha utayaona magumu. Hakuna elimu, huduma za afya, makazi , chakula, au mavazi pasina technolojia , na hakuna technolojia pasina pesa ....and then maisha yamegeuka kuwa hursle .

Ukitaka kuyaweza maisha resume fundermental life and then enjoy the life
Kwa kuandika nazani tu huyo alianza kuharibu akili yako kwanza. Nadhani sio nazani. Ujinga ni ugonjwa mbaya kuliko Ukimwi.
 
Vile maisha yalipo fika sasa hamna namna inawezekana kama unavyosema, muhimu ni kutumia akili ambayo kiasili ipo kwa ajili ya kuyakabili mazingira na athari zake.
[emoji6]can I swim ur dm?
 
umeandika kitu kikubwa sana nashangaa jamaa wanaokushambila hapo juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom