Nadhani hiki ni kipaji

Kuna majitu sehem fulani yaalikuwa yanabeza sana wakati mwenzetu kaonyesha kipaji chake tumpongeze tumpe suport
 
Me nadhani hii ni fulsa kwa serikali wakati inaendelea na program ya UCHUMI WA VIWANDA kuwaangalia kwa jicho la pili vijana kama hawa.
 
Kaunganisha vifaa tu . kutengeneza gari c kitoto.. Alaf tz tunapenda kukuza mambo.. Sasa hapo kuna gari ya kifahar?? Au waandish hawajui gar za kifahar?? Kwa bati za hilo gari usiombe akakipiga pasi kiji TOYOTA IST chako, lazima kibaki na matobo kama chujio la nazi. .

Turud kwenye point: hata kama ameunganisha hayo mabati na vifaa pia amejitajid maana hiyo kazi c ndogo.. Kuna vipimo vingi sana amefanya... Sasa je atapewa usajili/plate number au ndo anaishia kusifiwa tu. ? Cjui serikal ina mpango gan na hiki kipaji??? Pia ametufumbua macho kua serikali au wawekezaji wanaweza wakawa wananunua baadh ya vifaa na kuassemble/design magar hapa hapa nchini kwa bei nafuu....
 

Asilimia kubwa sana ya makampuni yanaunganisha vifaa.

60% ya magari mengi ya BMW wananunua vifaa na teknolojia nyingine toka makampuni mengine.

Marcedes Benzi ni moja ya makampuni ambayo 90% ya vifaa vyake wanatengeneza wenyewe. Ndio maana gari zao ni expensive sana.

Kwahiyo hata huyu jamaa kuunganisha vifaa sio kazi ndogo. Ni utaalamu pia.
 
Cha kujifunza hapa ni kwamba huyu hana taaluma ya Uhandisi wa darasani, tuna wahandisi wangapi nchini wenye weledi wao lakini wameshindwa kuunga unga vifaa vya namna hii??

Kuna magereji mangapi makubwa nchini yameshindwa kuunga unga vifaa??

Wanaojiita wasomi ndiyo wanaishia kukosoa kuwa kaunga unga!! Wao na elimu zao wamebaki kulalama Magufuli anawabania!!

Apewe pongezi zake tuu
 
naombeni tofauti kati ya haya maneno ya kiingereza .
1.Innovation.
2.Creativity.
3.Talent.

Kisha tumgroupa huyo Jamaa
 
Serikali badala ya kuwaendeleza watu kama hawa...wao wako busy kuwaongezea kodi...na kupeleka watu nahakamani kwa kuita uchwara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…