Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Uwajibikaji umeshuka sana siku hizi si kwa wanaume au wanawake
'
Siku hizi ni vijana wa kike na kiume kwenye jamii yetu wamekua wakiwasaka wenza wenye vihela ili wao wakae tu bila kuushughulisha ubongo wao kutafuta "eleri"(pesa)
'
Wakifanikiwa kumpata wamtarajiae basi kama ni kijana wa kiume hafanyi kazi tena yeye ni kulala na kugegeda tu,kama ni kijana wa kike aliyempata anageuka kuwa baba yake,vocha,saloon,wese la gari n.k vitakuwa juu yake
'
Kwenye baadhi ya jamii zingine ulimwenguni ni tofauti
'
Ukiwa na mahusiano na mtu tajiri au maskini haina maana umepata "neema",hakuna mahusiano kati ya mahusiano mliyonayo na fedha au kazi ya mtu
'
Hii ina maana kuwa mtu kuwa mpenzi,mkeo au mumeo hakuna maana ya kukupa hela tuu,fedha zake zinakua zake na hazihusiani na wewe,kama ataamua kukupa hela au kukupa muda wa hewani ni kwa hiari sio lazima
'
Kunakua na mpaka kati ya mambo hayo mawili
'
Nimeipenda sana hii na ningependa nasi tuishi namna hii
'
Hii mambo ya kumkubalia mtu penzi kisa ana pesa au kutafuta mwanamke mwenye pesa kwa kujiaminisha kumwagiwa mipesa,kutolewa out,kupelekwa shoping n.k ni ukahaba
'
Kama mnatoka out kila mtu analipia gharama zake kama utalipiwa ni hisani tu na sio lazima na pia sio kila siku
'
Ikiwa hivi kila mtu atapumua,maana siku hizi watu wanajinadi waziwazi na hii ni aina ya ukahaba,vijana wa kiume na kike wanajiuza waziwazi,tukibadilika watafanya kazi tu!
'
Kuwajibika na kujipenda ni utu!