Nacte

seleboy92

Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
58
Reaction score
1
jaman kama wamekuandikia reset choice wanamaanisha kunaulazima hapo nina mdogo wang imekuwa hivyo naomben msaada wenu
 
Yesterday at 9:18am
National Council for Technical Education
(NACTE)
Hiyo utaitumia endapo utahitajika kubadili
machaguo kama hutopata yale uliochagua.
6 hours ago · Sent from Mobile


maaanaake hii hapo
 
Hii ishu ya mathematics inapewa kipaupembe lakini ndani ya nacte unakuta Bsc Education in math sio priority hii inakuaje wakuu?
 
jaman kama wamekuandikia reset choice wanamaanisha kunaulazima hapo nina mdogo wang imekuwa hivyo naomben msaada wenu
Sidhani kama kuna ulazima. Kama ulazima upo basi Nacte wangetoa tangazo kuwa walioona hyo reset choice inabidi wachague upya. Hakika tangazo la maelekezo lingekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…