NACTE

NACTE

KingDenis

Senior Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
183
Reaction score
77
Samahan wana jf naomba kuuliza hiv kwa walio omba certificate or diploma in primary education awamu ya pili kuna yeyote aliye pata post ? asanten
 
Samahan wana jf naomba kuuliza hiv kwa walio omba certificate or diploma in primary education awamu ya pili kuna yeyote aliye pata post ? asanten

Hiyo news iko wapi?
Acheni kuchezea JF na muda wa watu.
 
Bado subirini watayatoa ila sio kwa muda huu wa miezi hii
 
Back
Top Bottom