Nacte wametoa selection zote

Post yangu nimezungumzia vyuo vya serikali tupu hapo,,private hawachagui kule ni biashara so hata mkiomba 500 mtachukuliwa tu.

Kuna mwaka kampala walichukua pharmacy zaidi ya watu 500
Kwani mkuu vyuo vya private navyo je kuna ushindani pia??
 
Join zimetumwa ingia kwenye profile yako
tutathibitishaje kujiunga na chuo na kupata joining instruction, maana chuo nilichopangwa sioni namba zao mtandaoni au kwa mwenye mawasiliano ya newala school of nursing anisaidie tafadhari.
 
Mkuu upo vzur sana, nakubali Msaada je hivi hawa Muhimbili School Of Midwifery wanafungua chuo lini kwasababu mimi sipo Dar nipo mkoani sina hata taarifa rasmi za joining instruction zao nimechaguliwa Nursing And Midwifery
 
vyo mnafungua lini mkuu.
 
Muhimbili bado hawajasema maana hata matokeo yao ya waliomba diploma bado.
Mimi ndo nimewauliza tena na wewe Unaulizia..!! Hata mimi badoo sijajua ndo maana naulizia
 
Join zimetumwa ingia kwenye profile yako
mkuu,samahani naomba unitumie link ya kuingia kwenye profile ya nacte aisee,nimejaribu njia zote lakini nimeshindwa mkuu,nakuomba sana
 
Joining bado ila vyuo vya afya wanafungua tarehe 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…