Sisimizidume
Member
- Jul 13, 2015
- 97
- 14
yeah ila uwena C,bios,C,chem na D like me sema me nina points 29 but naweza badili chuoni coz nina CCD
oya willy marandu vp hyo ya kbadili ukiwa chuon inawezekana...!!???? nifahamishe hapo
oya willy marandu vp hyo ya kbadili ukiwa chuon inawezekana...!!???? nifahamishe hapo
Kuna mdowang jana katumiwa txt kuwa amechaguliwa 2nd round rubya medical lab na awajulishe mapema kama ataenda au laa il chance yake ichukuliwe na mtu mwngne bt profile yake machaguo yapo ila nafasi ndo zimepungua tu na kuna deadline ya tr 16/10 ko atakuwa amedanganywa au walio chaguliwa wenyewe profile inaoneshaje?
usjali mkuu chuo cha rubya wakikuchagua huwa wanakujulisha direct kwnza hata mie nimechaguliwa hapo na nimeshakofam tayari
usjali mkuu chuo cha rubya wakikuchagua huwa wanakujulisha direct kwnza hata mie nimechaguliwa hapo na nimeshakofam tayari
Ndyo ni kwa vyuo vya private ndo inawezekana mkuu
umeona ee yaan presha kila cku
jaman eeh mepata nes diplma but natak clinical med,hata cjui nifanyaje je kuna kubadilisha chuo chenyew ni govt
Wakuu nacte wameshatoa post kwa wale wa second round hebu chek profile zenu me nimetumiwa sms from nacte nimeambiwa nicomfirm nimechaguliwa C.O pale KS ROYAL MBEYA
Kaka naomba intro kuhusu ks royal college pleaseWakuu nacte wameshatoa post kwa wale wa second round hebu chek profile zenu me nimetumiwa sms from nacte nimeambiwa nicomfirm nimechaguliwa C.O pale KS ROYAL MBEYA
Vip mkuu...naomba unijulishe ubora wa chuo cha ks royal college..nimechaguliwa hapoWakuu nacte wameshatoa post kwa wale wa second round hebu chek profile zenu me nimetumiwa sms from nacte nimeambiwa nicomfirm nimechaguliwa C.O pale KS ROYAL MBEYA