Nacte online transfer

Nacte online transfer

glenn01

New Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Hlw, naomba msaada tafadhari Niko mwenye mchakato wa kuama chuo Ila nimekwama kwenye stage ya 5 naambiwa Sina vigezo japo vigezo vyote ninavyo naomba msaada nifanyenn Apo..? Kingine sijafanya malipo kwaajiri ya uhamisho huo je Ada hio hulipwa kabla ya maombi au baada ya maombi na Kama ni kabla naomba namba ya malipo
Screenshot_2021-10-31-12-47-16-36.jpg
 
mkuu naomba msaada wa njia ya kuhama chuo kupitia nacte online?.maana na changamoto hiyom
 
Hlw, naomba msaada tafadhari Niko mwenye mchakato wa kuama chuo Ila nimekwama kwenye stage ya 5 naambiwa Sina vigezo japo vigezo vyote ninavyo naomba msaada nifanyenn Apo..? Kingine sijafanya malipo kwaajiri ya uhamisho huo je Ada hio hulipwa kabla ya maombi au baada ya maombi na Kama ni kabla naomba namba ya malipoView attachment 1994775
Tafuta connection kijana,huko utapoteza muda
 
Back
Top Bottom