Nacte mtusaidie watoto wa masikini

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Wanajamvi hawa Nacte nawaomba kwa wale tuliotemwa udsm tuwe selected Leo na na majina mtume bodi ya mikopo Leo Leo ilitupatiwe mikopo .Mungu ibariki tanzania
 
majina yalitumwa kitambo tu baada ya kuwa selected udsm watu walishapata sema wanatafuta namna ya transfer tulia kesho yakitoka unaweza kupata
 
HAWA Nacte walituambia tufanye application upya mpaka sasa hazijabadilika vyuo tulivyohagua na mkopo hatujapata please tunaomba msaada wenu nyie Nacte pelekeni majina mbona hivo
 
Back
Top Bottom