Last week waliwapangia watu vyuo na profile zao zikaonesha wako selected
Leo selected imeondoka na profile imerud kama mwanzo ila capacity zero.
Hii sijui inamaanisha nini
Usiogope ni matatizo tu ya mtandao kila kitu kitakaa poa
Usiogope ni matatizo tu ya mtandao kila kitu kitakaa poa
mh hii sasa ni hatar zaid.Mara selected then profile returned as formally zero capacity.
dah mm ndo nimekata tamaa kabisa mamamaee zao wakitaka wanichague wakitaka waache mamaeeeeee zao sibembelezi panya yeyote.
Last week waliwapangia watu vyuo na profile zao zikaonesha wako selected
Leo selected imeondoka na profile imerud kama mwanzo ila capacity zero.
Hii sijui inamaanisha nini
mmesha chaguliwa !!! xo wait
Duh msiwe na shaka wakuu hiyo trh 2 ikifika we chukuo mavyet yako nenda chuo umachotaka direct kaombe usajiriwe
we ndo mjanja cha msingi jichanganye chuo unachokipenda omba usajiliwe as long as uweze kupay fees