NACTE mna nini na course ya Nursing Diploma?

Makini Sana

Member
Aug 2, 2019
28
14
Kuna taarifa inasambaa sana. Kwamba kama mwanafunzi ana supp kwa course ya afya (Nursing) anarudia mwaka. Je hivi ni haki kwa mtu kuwa na supp moja bila discontinue halafu anarudia mwaka?
 
Baba ata uku clnical medicine ukiwa na supp mbili za nacte uendelei.
but agizo ni kichuo tu so nacte.
Kuna taarifa inasambaa sana. Kwamba kama mwanafunzi ana supp kwa course ya afya (Nursing) anarudia mwaka. Je hivi ni haki kwa mtu kuwa na supp moja bila discontinue halafu anarudia mwaka?
 
Umethibitisha hizo taarifa au umekuja kutoa lawama kwanza halafu ndo uthibitishe?

Back
Top Bottom