NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

Apo unaenda kuanzia certificate baba
 
Kwani kozi gani zitapewa mkopo mwaka huu nina mdogo wangu yuko diploma ya IT mwaka wa kwanza atapata
 
Ualimu unahitaji moyo
 
Ngoja nisubiri mwezi wa nne tu,dah!hakuna kozi za Civil,electrical wala Mechanical Engineering!


 
Kuna kitu nataka kufanya, nataka kubadilisha fani! Nikiomba system itanikubali maana sasa niko chuoni nilichaguliwa mwaka jana! Is this possible au ni kwa wale ambao hawakujisajili mwaka jana
labda uandike barua ya kuacha chuo utolewe kwenye system Yao vinginevo haiwezekani
 
Na wale tuliomaliza diploma tukiwa na ufaulu wa chini ya 3.5 G.P.A tumewekwa fungu gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…