Nacte kwa wale wanaosubiria confirmation toka vyuoni

ajam ally

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
28
Reaction score
5
Ndugu zangu tulioandikiwa kwenye profile zetu za nacte kuwa tusubiri confirmation toka kwenye vyuo ila tupo selected, nilikua nina ushauri labda unaweza kutuletea majibu mazuri, nina rafikiangu niliomba nae through nacte yeye ameandikiwa asubiri pia approve toka chuoni na jina lake pia bado halijatoka kwenye list ya selected candidates kwa chuo alichoandikiwa kwny profile.
Alichofanya ameenda moja kwa moja kwenye kile chuo na kuwaambia kuwa amefuata admission letter, akaulizwa jina lipo batch gani? akasema halijatoka kwny batch yoyote mpaka sasa ila nacte wamedirect kuwa amekua selected pale, wakamwambia awapatie index no. yake ya form 4 then na email alotumia ku apply kwa nacte. basi jamaa wakamfyatulia admission letter yake bila shida. alichokiona ni kuwa taarifa zetu tayari zipo vyuoni husika ila tuu vyuo ndo vina delay kurelease officially.

SASA USHAURI WANGU KWA WALE MLIOKO KARIBU NA VYUO KWA MFANO WEWE WA NACTE ULIOPO DAR NA UNASUBIRI APPROVAL TOKA UDSM HEBU JARIBU KWENDA PALE NA KUULIZIA ILI TUWEZE KUWA NA UHAKIKA JE HIKI KITU KIPO VYUO VYOTE AU NI BAADHI.
AHSANTE NA NATARAJIA MAJIBU KWA WALE WATAKAOJARIBU
 
chek hiyo join afu jiandae
 
Attachments

  • 1445592694437.jpg
    1445592694437.jpg
    59.2 KB · Views: 277
Jamani naombeni msaada naweza kubadilisha chuo bado nasubiri confirmation..isitoshe ni na wadogo zangu ambao na walipia shule isitoshe wamenipangia mbali na nyumbani na hapo nyumbani naishi mimi na wadogo zangu wawili wa secondary nitawezaje kufanya huwamisho kusudi ni baki nikiwalea wadogo zangu na pia kulinda nyumba na mali ya mzee marehemu baba yangu..kwani nacte wamenipangia mbali mkoa wa Iringa
 
Hilo wazo Na Mimi limenijia. Next week naenda chuoni kuulizia. Sitaki utani
 
Jamani naombeni msaada naweza kubadilisha chuo bado nasubiri confirmation..isitoshe ni na wadogo zangu ambao na walipia shule isitoshe wamenipangia mbali na nyumbani na hapo nyumbani naishi mimi na wadogo zangu wawili wa secondary nitawezaje kufanya huwamisho kusudi ni baki nikiwalea wadogo zangu na pia kulinda nyumba na mali ya mzee marehemu baba yangu..kwani nacte wamenipangia mbali mkoa wa Iringa
Jaribu kuwapigia simu kama upo mbali na ofisi zao. Nahisi watakusaidia
 
Back
Top Bottom