NacteJaman nacte ita toa Lin post kama kuna mwenye kujua atujulishe[I

Umejuaje kuwa watafungua tarehe hiyo?31/7 watafungua tena CAS so tutarajie cku hiyo ndyo cku ya kuweka kila kitu hadharani
nikwa upande wa health tu au baadhi ya vyuo mbona vyuo vingne badoWameshatoa na majina yametumwa vyuoni tayari na jukumu la kutoa taarifa limeachwa kwa vyuo husika.
Mm nmechaguliwa rubya health training institute na nmeshapata hadi joining instruction leo hii.
umepataje taarifa nduguWameshatoa na majina yametumwa vyuoni tayari na jukumu la kutoa taarifa limeachwa kwa vyuo husika.
Mm nmechaguliwa rubya health training institute na nmeshapata hadi joining instruction leo hii.
Sasa mbona mim sielew how comes ,,? Hii mbona hatarWameshatoa na majina yametumwa vyuoni tayari na jukumu la kutoa taarifa limeachwa kwa vyuo husika.
Mm nmechaguliwa rubya health training institute na nmeshapata hadi joining instruction leo hii.