thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 204
Habari
Mpaka sasa nacte kutokutoa selection wala kutokuwepo kwa taarifa yeyote elekezi ni kama kuonea wanafunzi kwa sababu kuna maandalizi yanayotakiwa yafanyike na wanaotarajia kujiunga na vyuo ukizingatia vyuo vingine viko mbioni kufunguliwa