NACTE diploma ya ualimu mwenye certificate grade A

KABAKA28

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
211
Reaction score
229
Habari wana Jamvi.
Naomba msaada, je mwaka huu mwalimu wa shule ya msingi wenye grade A haruhusiwi kusoma Diploma? Maana nina ndugu yangu anahitaji kujiendeleza ila vyuo vingi havitoi hii course siku hizi. Nimewapigja NACTE wamenijibu majibu mepesi "shit".
Mwenye uelewa tafadhari anijuze.
Asante
 
Mbn ipo
 
sasa hivi hakuna...waliisimamisha hiyo kozi mwaka jana
 
Habari wana Jamvi.
Naomba msaada, je mwaka huu mwalimu wa shule ya msingi wenye grade A haruhusiwi kusoma Diploma? Maana nina ndugu yangu anahitaji kujiendeleza ila vyuo vingi havitoi hii course siku hizi. Nimewapigja NACTE wamenijibu majibu mepesi "shit".
Mwenye uelewa tafadhari anijuze.
Asante
Ndiyo anaweza kusoma Open University
 
Back
Top Bottom