NACTE: Deadline ya second selection yaongezwa

Hamijacko

Member
Joined
Sep 3, 2015
Posts
37
Reaction score
2
Wakuu kwenye profile yangu nimekuta deadline imeongezwa mpaka trh 16/10 huko kwenu vp na mnalichukuliaje hilo swala?
 
Mkuu hebu rudi tena kacheki vizuri ukiwa umetulia, unajua kipindi hiki kila mtu kapanic kuhusu hizo selection so relax kila kitu kiko sawa, hakuna changes zozote za deadline
 
Mkuu hebu rudi tena kacheki vizuri ukiwa umetulia, unajua kipindi hiki kila mtu kapanic kuhusu hizo selection so relax kila kitu kiko sawa, hakuna changes zozote za deadline

Mimi kwangu mpka tarehe 25-10-2015
 
mkuu deadline kweli imeongezeka na hakuna mabadiliko mengine ktk profile yangu!
 
bado TCU nao nafikiri wataongeza mpaka tarehe 27 october kwa mujibu wa afisa mmoja wa TCU.
 
mm tatizo langu lipo hivii ,,ktk kufanya selection nilichagua bumbuli clinical officer kwa kujua kuwa ni gvment coz nacte hk chuo kmeandikwa ni govment ilhali hk chuo ni faith based organization (fbo) selection zilivyotoka nikawa selected ktk hk chuo nikawauliza nacte kwa nn chuo cha kkkt wakiandike ni goverment wakasema watanifutia ile selection ya bumbuli ili nichague upya na kweli wakanifutia na nkachagua vyuo vngne nawait selection mpk sasa bdo sijazipata
 
Tuendelee 2 kusubiri cz amna namna nyingine afu mbona kunawa2 wengine humu wana sema sec round imesha toka ila ni kwa baadhi ya vyuo!
 
Tuendelee 2 kusubiri cz amna namna nyingine afu mbona kunawa2 wengine humu wana sema sec round imesha toka ila ni kwa baadhi ya vyuo kwan ww sec round uliomba chuo gani?
 
ni kweli post za 2round zimetoka but hawatoa kwa wote wanatoa kwa mtu mmoja mmoja even me jana jmosi jioni nimepata selection zang na tyar nishacomfirm kabisaa
 
cha msingi ni kuwa na subra wadau utazipata selection zako kabla hata ya tar 16|10 kama chuo ulichoomba hakijajaa
 
Ustadhijuma wewe umepata selection za bachelor au diploma?? Maan nacte hawaelewek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…