Kuna issue ya AVN imekuwa tatio jaman.Nacte wanasema wahitimu wawasiliane na vyuo vitume matokeo ndo wapatiwe AVN....
Hivi Nacte si ni bodi inayosimamia vyuo vyote vya ufundi..kwanini wasiamulishe/au waweke utaratibu wa lazima kwa vyuo vyote kutuma matokeo jaman ..mpka wahitimu wakapige tena goti ndo matokeo yatumwe???????????