MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
- Thread starter
- #21
Aksante sana SI unit ni kweli use mayo but pliz lazima huwa kuna vikitu umejiwekea Kuwa utaviangalia na Kuwa akifanya hivi au ikitokea hivi aka react vile basi sio mwenyewe au.? Maana hukawii Baada ya yote Watu wanakujakukwambia ah Yule mbona sie tulikuwa twamjua? Tulikushangaa tu"........hivi wema na diamond nao bado wanachunguzana...???..love is crazy...waswahili walisema ukimchunguza sana bata huwezi kumla (ila hii theory sio applicable kama una njaa)...kuna watu walizaliwa na talent ya kuficha uhalisia wao, ukishtuka ushatumiwa na watu wanasepa zao...and the otherside kuna wasioweza kuchunguza, once they fall in love, hawaangalii pembaeni wala kurudi nyuma...MBAYA ZAIDI,,,siku hizi pesa na luxuries zinamaliza kila kitu and power ya kuchunguzana inakua haipo...
Last edited by a moderator: