Nachukia Whatsapp Images/messages za KU-FORWARD

franktemu123

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
1,400
1,451
Unakuta ni jitu zima unaliheshimu kazi kufoward mimeseji ya kutumiwa na watoto wadogo. We mama mtu mzima si ukae na wajukuu zako. Mkottongoz.wa mnalalamika vijana hatuna nidhamu
 
Ukitaka usikereke na Whatsapp achana na masuala ya magroup halafu futa namba zote ulizojiunga nazo Whatsapp, tafuta namba maalumu kwa ajili ya Business zako Whatsapp tu ambayo utawapa wale walio wa muhimu.
 
linaporomesha video ya dk 30 bundle zenyewe hizi za chuo kupeana umaskin tu
 
we mwanaume unawivu wa kike ina maana wamama ndo wanaokutumiaga hivo vitu tu?
 
Tena na sikukuu hizi Ni full kuforward hupumui kila dakika chubwiii....mara picha, mara video.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom