Umesema kweli, ndio maana nakupendaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wafupi ni shiiiidah.
Ila pesa unayo?Kama huna jitahidi kuitafuta mbona watakupenda wenyewe?
Kwenye pesa hakunaga ufupi...
Otherwise, pole.
Kumbe....Umesema kweli, ndio maana nakupendaga
Binadamu wengine hawana kasoro na ndio maana wanaweza kuungana dhidi ya wale wenye kasoro.Mi naona kuna watu waliumbwa ili wengine waonekane bora.Kusingekuwa na mfupi urefu usingetukuzwa na kusingekuwa na unene wembamba usingepewa heshima.Utukufu kwa Mungu juu anayejua mafumbo yote ya duniani na aheraSiri ya kupendwa ni kujipenda wewe mwenyewe kwanza. Kila binadamu ana kasoro zake, jitahidi kujipenda kwanza ndio mtu wa nje ataweza kukupenda.
Doctor love Pimbi!!!!daaa watu wafupi bhana....hata yule wanaemchora chora kwenye sani hajawahi kufanikiwa hata siku moja...tafuta wafupi na wewe
Ufupi tu my dear...Ivi ufupi ndio sababu au kuna zaidi?
Nisiwe muongo, huwa nampenda nifah kwani huwa mkweli(upendo wa agape tu)Kumbe....
Mbona unajitetea bae...Nisiwe muongo, huwa nampenda nifah kwani huwa mkweli(upendo wa agape tu)
Hili nalo ni neno..Huwezi kuwa una passo utamani kubeba mzigo wa fuso
Nilitaka kuweka hansad vizuri, wew wajua vyema hata nkichepuka huwa nakuaga[emoji13] [emoji13]Mbona unajitetea bae...
Hata ukimpenda ×1000
Mie sikuachi...
Tutabanana hapo hapo.
Teh teh..Nilitaka kuweka hansad vizuri, wew wajua vyema hata nkichepuka huwa nakuaga[emoji13] [emoji13]
Mpenzi[emoji7]Teh teh..