jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
AhsanteSiri ya kupendwa ni kujipenda wewe mwenyewe kwanza. Kila binadamu ana kasoro zake, jitahidi kujipenda kwanza ndio mtu wa nje ataweza kukupenda.
Jipende,jiamini,jiweke msafi,fanya kazi kwa bidii utapendwa tu.ASAPYani mimi ni mfupi sana ,pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi,ila nawapenda wasichana warefu sana ,kinacho nisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.
hivi kwann wasichana hamnipendi mimi?
Sio amfate mshana amrekebishie yale mavituz ya kwere kwere hirizi kiunoni..?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wafupi ni shiiiidah.
Ila pesa unayo?Kama huna jitahidi kuitafuta mbona watakupenda wenyewe?
Kwenye pesa hakunaga ufupi...
Otherwise, pole.
Atapendwa kwasababu ya usmart wake au pochi???Jipende,jiamini,jiweke msafi,fanya kazi kwa bidii utapendwa tu.ASAP
Eeeeeeh!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wafupi ni shiiiidah.
Ila pesa unayo?Kama huna jitahidi kuitafuta mbona watakupenda wenyewe?
Kwenye pesa hakunaga ufupi...
Otherwise, pole.
Hivi Kumbe Dawa zinanywewa, sasa utatofautishaje kwamba kunywa huku kirefuke kiungo fulani au mwili mzima?Kunywa dawa kama zile wanazokunywa vijana wengi kurefusha mihogo ya jang'ombe hakika utarefuka na utapendwa sana..
Sasa pochi si ndo nimesema afanye kazi kwa kwa bidiiAtapendwa kwasababu ya usmart wake au pochi???
Mbona kwa wafupi mnaweoa creteria ngumu nakwawarefu hakuna creteria?
Hapo nimeelewa sasa maana hapa jf lisipite jambo la kiganga ama uchawi, mshana yumo.Ha ha sio mganga sema thread zake ndio zinawafanya watu wamuidentify hivyo lkn binafsi sidhani kabisa
Ivi ufupi ndio sababu au kuna zaidi?Yani mimi ni mfupi sana ,pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi,ila nawapenda wasichana warefu sana ,kinacho nisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.
hivi kwann wasichana hamnipendi mimi?