Nachukia sana hii kitu

Tatizo la kumdharau mteja halipo kwa watumishi wa vitengo/idara ya customer care, mapokezi. Pia hata kwa maboss, managers, head of departments, n.k. Ushauri heshimu mtu yeyote bila kujali hali yake au kufahamiana kwenu, inaleta tija zaidi kwny kazi.
 
sawa 'bosi fulani' tutaacha...
 
Ukweli mtu km huyo ujue hajajuwa wajibu wake alipo wekwa
 

Dah! kumbe huku kukatikakatika kwa umeme kuna chain kubwa nyuma yake eh? U made my morning-thank u!
 
Reactions: Paw
Mimi nimpongeze dada mmoja pale CRDB bank Kijitonyama, simkumbuki jina ila huwa anakaa meza ya kwanza mkono wa kushoto unapoingia mlangoni. Amenihudumia mara mbili ni nikaridhika sana. Mwingine ni cashier hapohapo kwa jina la Dina......Yuko poa na fast.

Huyo wa kwanza nafikiri amezaliwa tu na ukarimu, halazimishi kauli nzuri ni nature yake.

Bad side:
Kuna mmoja kwenye kampuni fulani alikuwa na majibu ya 'mkato' na ujeuri fulani, lakini siku nimeenda kuchukua cheque ya malipo yangu ya 'umesenja' naona sasa hivi akiniona anatabasamu! (hapa nilihisi ni lara 1 :dance::dance🙂
 

Daa nakusomaga ila kumuita yule dada mbuzi mzee umenikera sana...anyway ila Usijali....yuko na mwenzake wa block lile la upande wa TIB ana makalio nouma
 

hahahaaaa aliumbukaje huyo.........
Kuna watu wana mashauzi ya kijinga wakati hawana mbele wala nyuma
 

Aisee nami nilikutana naye alinihudumia kwa bashasha na alikuwa mkarimu kweli, ilifikia mahala ninazungusha macho kuona kama King'asti yupo foleni pale nisije kujibu jinai home. Anaijua naa kuipenda kazi yake haswa.
 
Last edited by a moderator:

hahaahaaahaaa........
best, tupia basi hata picha ya hivyo viatu ulivyo vaa sikuhiyo ili story ikamilike.
 
Aisee nami nilikutana naye alinihudumia kwa bashasha na alikuwa mkarimu kweli, ilifikia mahala ninazungusha macho kuona kama King'asti yupo foleni pale nisije kujibu jinai home. Anaijua naa kuipenda kazi yake haswa.

Aisee yule binti ananiujua kazi yake, na kizuri zaidi ana kumbukumbu hakuuliza kila wakati jina.
Ila kama nilkuona siku ile unamkonyeza :tape: :tape:

Cc: King'asti
 
Last edited by a moderator:
Aisee yule binti ananiujua kazi yake, na kizuri zaidi ana kumbukumbu hakuuliza kila wakati jina.
Ila kama nilkuona siku ile unamkonyeza :tape: :tape:

Cc: King'asti
Hahahaha
Unawezaje kugundua mtu anayekonyeza huku amevaa miwani ya jua?
 
Tatizo la kumdharau mteja halipo kwa watumishi wa vitengo/idara ya customer care, mapokezi. Pia hata kwa maboss, managers, head of departments, n.k. Ushauri heshimu mtu yeyote bila kujali hali yake au kufahamiana kwenu, inaleta tija zaidi kwny kazi.

Ukweli mtu km huyo ujue hajajuwa wajibu wake alipo wekwa

hahahaaaa aliumbukaje huyo.........
Kuna watu wana mashauzi ya kijinga wakati hawana mbele wala nyuma

^^
Ukikutana na mtu wa aina hiyo ujue anatumia nguvu kutambulika uwepo wake.
^^


kama ndio hivi Kuanzia leo siendi ofisi yoyote ile.
Nalog off
CC: KIUNGOMCHEZESHAJI,Swts
 

Achana nao mkuu, kapuku akipata makalio hulia mbwata. Unabaki kusamehe bure tu. P*mbav na mishahara yao yenyewe wengine tunatumia kwa siku na still haitoshi.
 
Halafu watu wa jinsi hiyo hawana jema ukionekana mchovu watakuangalia kwa dharau ukionekana uko juu kama mfuko wa shati wataona donge ili mradi utambue tu kuwa wako kazini na wewe ndo mwenye shida ndiyo maana ukaenda ofisi zao,kazi kwelikweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…