Nachukia kupenda

upupu

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Posts
614
Reaction score
198
Katika vitu ambavyo navichukia na naviepuka kwa udi na uvumba ni Kupenda, binafsi sioni faida yake zaidi ya karaha na mateso.
 
Ushachezewa cheusi, chekundu nini? inamaana hujawahi penda au hutaki tena baada ya kuingilia mlango wa kutokea?
 
Katika vitu ambavyo navichukia na naviepuka kwa udi na uvumba ni Kupenda, binafsi sioni faida yake zaidi ya karaha na mateso.

Huwezi kuyakimbia mapenzi. Ipo siku utanasa tu.
 
Nikiwa na urafiki na msichana, nikianza kumpenda tu, nakimbia mbali haraka, sitaki tena ukaribu!!
 
unamiaka mingapi? na umependa mara ngapi?

Nadhani huyu bado yuko kwenye age ya exploring na bahati yake mbaya akaumizwa mapema.. So he tries to hit back.. Only he hits back his own shadow..
 
Nadhani huyu bado yuko kwenye age ya exploring na bahati yake mbaya akaumizwa mapema.. So he tries to hit back.. Only he hits back his own shadow..
ndio mana nikataka kujua age yake manake,au ameongea kwa hasira sanaaaaa i can undestand him/her..
 
bado hujampata wa kumpenda ndio maana

hajapata wa kumpenda yeye it is so obviously jamaa anakuwaga anapenda asipo pendwa anageuzwa punda! huwezi kuepuka maumivu na mateso! Tyune moyo kivingine
 
hutaki tena baada ya kuingilia mlango wa kutokea?[/QUOTE]

mie hapo tu
 
Nikiwa na urafiki na msichana, nikianza kumpenda tu, nakimbia mbali haraka, sitaki tena ukaribu!!

Halafu hiyo avatar yako kama inadhihirisha sura yako, sidhani kama ukweli unachukia kupenda ila nahisi hupendwi tu, acha kujistukia jiamini wewe mwanaume. Mh! na hilo jina ndio balaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…