Nachukia hii tabia ya co worker

there is a thin line between love and hate. Unampenda ndo maana unamchukia.
 
Salaam haigombi ila ukaribu wa kupitiliza usitishe.
Kama kuna analotaka kwako afunguke umpe kibuti cha mbavu maisha yasonge,kama ndio domo zege muache aendelee kufa kiofisa!!
 
ngastuka inawezekana jamaa anajipendekeza sana tatzo ni mbahili wa kutoa mapene....si ajab angekuwa anakutoa usingefka huku....si ndivo.?
 
Shosti ulikuwa wapi??
mchane live mwambie hupendi sema unachopenda kama ile michezo ya mpesa,tigopesa,airtel money n.k

nilishikwa na mahaba niue shost
huyu nikimuanzishia michezo ya airtel money ndo atapata ticket ya kuniganda kabisa
 
Thanx Tized
 
Salaam haigombi ila ukaribu wa kupitiliza usitishe.
Kama kuna analotaka kwako afunguke umpe kibuti cha mbavu maisha yasonge,kama ndio domo zege muache aendelee kufa kiofisa!!

kama ndo anasubiri nimpe cha mbavu au kumchana live ndo atazidi choka koz hayo siyawezi, nikikwambia sitaki utadhani simaanishi labda kesho atasema yes, utaendelea kusubiri hadi dunia igeuke, sitaki itabaki staki, hata nikikuchekea haimaanishi yes, dats how i am
 
ngastuka inawezekana jamaa anajipendekeza sana tatzo ni mbahili wa kutoa mapene....si ajab angekuwa anakutoa usingefka huku....si ndivo.?

si kila mda unatamani kupokea, hata kwa ofs mate, mshahara sawa kila lunch akalipe ye inahuuu
 
Kama ndivyo ulivyo na umeshafanya hayo huna sababu ya kuwaza tena umfanye nini.
Kuna maradhi huwa yanaisha yenyewe baada ya muda!!
 
Si umpe tu yaishee! !!!!!!!!!

Nawe kwa kuongea kiluzi hata sehemu za kutoa busara hujambo, kwahiyo wewe huwa unawapa yanaisha wanaokusumbua? Iwapo ni vile mbona Sayansikimu anakusumbua kila siku hujampa? Tupunguze ufunyugulu kwenye topic za kujenga
 
[/B]
Kama ndivyo ulivyo na umeshafanya hayo huna sababu ya kuwaza tena umfanye nini.
Kuna maradhi huwa yanaisha yenyewe baada ya muda!!

sa huyu haelewi kashakariri mwanamke akicheka mins yes, wengine sijui wa wapi
 
Nawe kwa kuongea kiluzi hata sehemu za kutoa busara hujambo, kwahiyo wewe huwa unawapa yanaisha wanaokusumbua? Iwapo ni vile mbona Sayansikimu anakusumbua kila siku hujampa? Tupunguze ufunyugulu kwenye topic za kujenga

nimekupenda bure
 
Hahaha mkuu OLESAIDIMU umenichekesha sana watu wa ivo wapo sana tu sema.wengine hasira ziko mbali unaweza kumdhuru mtu..halafu ukimwangalia saana anachokiringia wala sio ki ivo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…