Nachukia hii tabia ya co worker


Inawezekana una ujauzito...
Kuchukia mtu kwa sababu ndogo hivo sio kawaida...
 
nitamwambia dogo akutongoze bila shaka ndo unachokitaka
 
mpe achachue kidizaini, mnapendana ila kuna mmoja anamzingua mwenzakeeee...kuch kuch nyingi
 
nshamwambia ila naona ndio mazingira yamebadilika namchuniaje maana haelewi sa inakua kama tuna bifu ofsini,

Uliikubali hiyo hali tokea mwanzo...msemee kwa jamaa yako tu
 

Huyo jamaa ni domo zege......anashindwa kujieleza....kama vp mpanulie atulie
 
Ipo siku utamuelewa tu, yanaanzaga hivyo hivyo. Roma haijajengwa kwa siku moja.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Au Surprise ni wale wa kundi la hataki ila haoneshi mpaka aombwe ndio akatae!!!!!!!!!

Kuna mmoja aliwahi niambia kuwa yeye anafurahi sana kumkatalia mwanaume ila raha yake ni kumpa mazingira kama anataka halafu akiomba au akianza kuwa serious yeye ndio anakataa rasmi!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa ameanza katabia ka kunionyesha picha za ajabu mara khanga moko , mara kigodoro, mara baikoko, me nikiona tu naipotezea,

Wewe umejuaje haya majina kama nawe si mpenzi wa hizi nyanga?

Otherwise the whole thing ni stori tu ya kufurahisha jamvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…