Nachukia hii tabia ya co worker

Nachukia hii tabia ya co worker

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
Nikiandika kwa kirefu ntatukana, lakini huyu mkaka alijifanya anajua kukea maana kila muda ananichek, mara tukale , mara sijui nini, yaani me nikajua nature wanaume kucare wanawake, naombe itambulike sio kwamba ananipa ofa au nini, ila tukale tu wote, kukiwa na ruti anapendekeza tupangwe wote, kukiwa mna kazi tuwe wote team moja.

Sasa ameanza katabia ka kunionyesha picha za ajabu mara khanga moko , mara kigodoro, mara baikoko, me nikiona tu naipotezea, sasa kakazana me sielewi nimemwambia sizihitaji lakini namuona ananikomalia, acha kujifanya mtoto hivi vya kawaida tu, basi nimemchukia hadi ofisi nzima imejua nimechukia maana alikua shost hasa, ye anadai hana nia mbaya anaenjoy tu kua karibu,
jamani nishaurini nidil nae vp nisiathiri mahusiano ya kazi
 
Inaitwa love and hate hiyo....kuna kitu between you....somethin like 'sexual tensions'

Acha bhana, love n hate wapi, kwanza namshangaa nashindwa nimfanyaje kiukweli ananibore ila nisiseme sana maana nikizidi chukia utasema ndo love n hate inazidi
 
Kama unaudhika mwambie ila ukikaa kimya utaingia line mwnyw atakula mzigo
 
Kama unaudhika mwambie ila ukikaa kimya utaingia line mwnyw atakula mzigo

nshamwambia ila naona ndio mazingira yamebadilika namchuniaje maana haelewi sa inakua kama tuna bifu ofsini,
 
Ndio shida ya wanawake hiyo,kumchana live unaonaje,taratibu bila kupiga kelele mwambie hutaki mazoea ya namna hiyo...ila mfanye kazi kwa bidii labda kama umekula vyake hapo inabidi ulipe ...Nyingine ni hivi kama huna mchumba huyo alikuwa amekufia anataka muanzishe mahusiano kama unaye basi ongea nae yabaki mazoea ya kawawida maana yeye hajui unafikiria nini anajua uko ok.
 
heheheeee Strong woman siku zote hawasumbuliwi kwa vitu kama hivyo...
Mwambie NO tena ile ya uso ukiwa unamaanisha NO...Tatizo la wanawake wengi staki hehehe staki ..hadi unafunguliwa kifungo cha blouse staki huku unacheka...ndio udhaifu huo..
Km unamaanisha hutaki umaanishe, uso upeleke message, macho, kila kitu...Kununiana hakusaidii...

Km ilikuwa kauli ya utani weka sura ya kazi, mwambie kauli ya busara ambayo hiyo duchelele lake litanyauka..

********************************************

Nikiandika kwa kirefu ntatukana, lakini huyu mkaka alijifanya anajua kukea maana kila muda ananichek, mara tukale , mara sijui nini, yaani me nikajua nature wanaume kucare wanawake, naombe itambulike sio kwamba ananipa ofa au nini, ila tukale tu wote, kukiwa na ruti anapendekeza tupangwe wote, kukiwa mna kazi tuwe wote team moja.

Sasa ameanza katabia ka kunionyesha picha za ajabu mara khanga moko , mara kigodoro, mara baikoko, me nikiona tu naipotezea, sasa kakazana me sielewi nimemwambia sizihitaji lakini namuona ananikomalia, acha kujifanya mtoto hivi vya kawaida tu, basi nimemchukia hadi ofisi nzima imejua nimechukia maana alikua shost hasa, ye anadai hana nia mbaya anaenjoy tu kua karibu,
jamani nishaurini nidil nae vp nisiathiri mahusiano ya kazi
 
Uyo nae fa*a kweli, sasa anataka mkale wote afu tena sio bill yake? Kusumbuana sasa!! Anyway we mlie bunda....be cold to him soon atachoka. Ukimchekea chekea nyani....
 
Back
Top Bottom