Nachukia haka katabia!!

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
Huko nyuma walikuwa boyfriend na girlfriend but wakaachana baadae demu kapata mume na jamaa kapata jiko tena hata kwenye harusi zao walikaribishana chakushangaza wakikutana wanatafuta gesthouse alafu wanaambiana eti wanakumbushia enzi zile basi hapo hata uvinza na kwenye maic wataenda ngoma hadi kunakucha na kila mmoja akienda kwake anacngizia vingine.
 
kwani wanakuwa wamelazimishina, wewe chunguza ngoma za kizaramo na kikwere kukaa zaidi ya wiki moja ni nini? shida kubwa ya jadi hii ni kuwa huchelewi kufa kwa HIV kutokana na kuaminiana na hivyo kwenda peku peku.
 
:confused2:

Ni ukosefu wa maadili na kujidhalilisha hasa kwa wanawake.Wanawake wanatakiwa wakumbuke kuwa kuna tofauti kubwa kati yao na wanaume wanapotoka nje ya mahusiano yao kwani kimaumbile"Wanaume ndio wanao waDO wanawake",hivyo naona wanawake wanadhalilika sana pale inapokuwa wewe si mtu wake rasmi!Na kwa kuwa hushikiwi bunduki,kwani kusema NO unatozwa kodi kiasi gani?UCHAFU TU!
 
Huko nyuma walikuwa boyfriend na girlfriend but wakaachana baadae demu kapata mume na jamaa kapata jiko tena hata kwenye harusi zao walikaribishana chakushangaza wakikutana wanatafuta gesthouse alafu wanaambiana eti wanakumbushia enzi zile basi hapo hata uvinza na kwenye maic wataenda ngoma hadi kunakucha na kila mmoja akienda kwake anacngizia vingine.

Sasa mkuu inamaana huwa wanakuambia hadi kuwa wanaenda huko uvinza.
Mi naona ni wewe mwenyewe unatumia third part kutoa uchafu unaofanya. Acha mkuu.
 
kwani wanakuwa wamelazimishina, wewe chunguza ngoma za kizaramo na kikwere kukaa zaidi ya wiki moja ni nini? shida kubwa ya jadi hii ni kuwa huchelewi kufa kwa HIV kutokana na kuaminiana na hivyo kwenda peku peku.

hapo penye blue mkuu unahusika na darsa.........jiandae
 
Du sitakujudge mtoa mada kwani hata miye nishafanya hako kamchezo ila si kwenye ndoa ni kwenye mahusiano ya kawaida ila mwisho wake lazima uwe mbaya.tulitoswa wote na our respective patners alafu cha ajabu mi na huyo dada tukachukiana gafla kila mtu akashika njia yake.si vizuri kabisa,unampoteza mtu anayekupenda kwa ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom