kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Kivipi tenah mkuumkuu umejichimbia kaburi...
Nimejipanga kwa lolote mkuuKila la kheri.
Hapo kwenye unachokitafuta hapo..usisahau mrejesho.
Ngojea mrejesho.. utakaouleta...Kivipi tenah mkuu
HahahaaaUkishamdukua..usisite kuleta mrejesho
Mi niliwahi kumdukua mtu sikuamini macho yangu.Nilikuta anatumia watu picha zake za uchi hadi wachungaji.