Nachimbwa mikwara mizito na mtoto wa mpenzi wangu

Kuna kitu kinaitwa rejection spirit (roho ya kukataliwa). Mara zote watoto wa kiume ndio hawapendi mama zao wapate wapenzi, ila watoto wa kike wao huwa wanafurahi mama zao wanapopata wapenzi.

Huyu binti kaona kitu ambacho mama yake hajakiona kwasababu mama yuko desperate. Hivyo ana upofu sababu ya mapenzi.

Binti kagundua jamaa ana roho ya kukataliwa. Amekataliwa na wanawake wasio na watoto, pia huenda uchumi umemkataa, na huenda hata heshima imemkataa ndio maana binti anamuona jamaa jau
Hili somo kabisa pale kwenye kanisa lako
 
Nisiwachoshe jamani.

Kuna mdada nimempenda, nikaona sio mbaya Kama wazee tukakokotana tufike kanani.

Mpenzi wangu ana binti kamaliza chuo majuzi tu, aiseee binti huyu ananichimba mikwara kibao kwenye simu niachane na mama yake.

Mama yake hajui kitu, sijamweleza hili Jambo, Ila binti yake kanipigia simu Mara mbili, na katuma message akitaka nimwache mama yake kwani haoni Kama namfaa mama yake.

Na kafika mbali kuwa anajua mbinu za wanaume, najifanya kumpenda na kumtunza mama yake Kuna Jambo tu nalitafuta. Nimemkalia kimya sijamjibu. Nawaza Leo siku ya tatu nimpe jibu gani nakosa, maana nimekwazika hadi natamani nikakamate nikatie adabu.

Mama yake ana udhaifu wa hasira Sana, nikimweleza hili nitaharibu Sana, how can I handle the situation bila kuharibu Mambo?

Karibuni kwa mchango
Maza huwa analalamika kwa dogo namna anavyokulea na wewe hujiongezi kila siku milio.Dogo amefikisha ujumbe.
 
Dah hongera sana mkuu kwa uvumilivu na kutokuwa wakuhamaki,Ila nadhani binti anaweza Kuwa sahihi kwa namna moja au nyingine amekuwa jicho la 3 la mama,amenusa hatari mbele ya safari hivyo anatoa angalizo la kujikagua Kama kweli unastahili au lah,anahitaji wazazi wenye kujiheshimu na sidhani katika umri aliokuwa nao anategemea kumwana mama yake yuko katika mahusiano ya namna hiyo.so ni kweli ni muda sahihi wa wewe Kuwa muwazi kwa huyo mwanamama.
Hebu Ava viatu vya huyo binti alafu uangalie binafsi ungepaswa ufanye nini,binti yuko sahihi kabisa tena mpaka Kaja kwako ujue ameshasumbuana sana na mamayake kuhusu mahusiano yenu ya aibu mbele yake.
Hapana mkuu, nadhani tatizo linaweza kubwa zaidi kuliko nijuavyo, nataka kumwita tukae aniambie ukweli.

Mimi ndo nahudumia hii familia kwa Sasa, nayeye kipindi Cha huku mwishoni akiwa chuo, kala Sana Mia Mia zangu
 
Kuna kitu kinaitwa rejection spirit (roho ya kukataliwa). Mara zote watoto wa kiume ndio hawapendi mama zao wapate wapenzi, ila watoto wa kike wao huwa wanafurahi mama zao wanapopata wapenzi.

Huyu binti kaona kitu ambacho mama yake hajakiona kwasababu mama yuko desperate. Hivyo ana upofu sababu ya mapenzi.

Binti kagundua jamaa ana roho ya kukataliwa. Amekataliwa na wanawake wasio na watoto, pia huenda uchumi umemkataa, na huenda hata heshima imemkataa ndio maana binti anamuona jamaa jau
Mkuu, Wala sifugwi na uchumi kiasi unaruhusu japo si Sana, ndo naendesha familia hii kwa Sasa financially
 
Tumeishi na watu ambao wanaamini bahati aligaiwaa bukuku

Kontawa voice
 
Mkuu Mivyumba, wewe ulisema tabia njema au mbaya ni maamuzi binafsi ,ok toa neno lako la kibusara ukimshauri huyu kiongozi.
 
Nisiwachoshe jamani.

Kuna mdada nimempenda, nikaona sio mbaya Kama wazee tukakokotana tufike kanani.

Mpenzi wangu ana binti kamaliza chuo majuzi tu, aiseee binti huyu ananichimba mikwara kibao kwenye simu niachane na mama yake.

Mama yake hajui kitu, sijamweleza hili Jambo, Ila binti yake kanipigia simu Mara mbili, na katuma message akitaka nimwache mama yake kwani haoni Kama namfaa mama yake.

Na kafika mbali kuwa anajua mbinu za wanaume, najifanya kumpenda na kumtunza mama yake Kuna Jambo tu nalitafuta. Nimemkalia kimya sijamjibu. Nawaza Leo siku ya tatu nimpe jibu gani nakosa, maana nimekwazika hadi natamani nikakamate nikatie adabu.

Mama yake ana udhaifu wa hasira Sana, nikimweleza hili nitaharibu Sana, how can I handle the situation bila kuharibu Mambo?

Karibuni kwa mchango
A man knows how to handle situations like these one....
It's hard for boys to hanlde....
 
Jamaa ana roho ya kukataliwa huyoo...mimi niliwahi kupendwa na bibi mwenye miaka 60, yule bibi alikomaa kweli kunipeleka kwake ..baada ya kuning'ang'ania kwa muda mrefu nikajitoa muhanga kufika kwake.ile kufika tu naona mabinti zake wananiangalia kwa bashasha🤔🤔...nahisi aliwapa taarifa mapema kuwa leo jioni nitakuja na baba yenu mdogo...........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom