Nachimbwa mikwara mizito na mtoto wa mpenzi wangu

chawa wa mama

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
292
1,082
Nisiwachoshe jamani.

Kuna mdada nimempenda, nikaona sio mbaya Kama wazee tukakokotana tufike kanani.

Mpenzi wangu ana binti kamaliza chuo majuzi tu, aiseee binti huyu ananichimba mikwara kibao kwenye simu niachane na mama yake.

Mama yake hajui kitu, sijamweleza hili Jambo, Ila binti yake kanipigia simu Mara mbili, na katuma message akitaka nimwache mama yake kwani haoni Kama namfaa mama yake.

Na kafika mbali kuwa anajua mbinu za wanaume, najifanya kumpenda na kumtunza mama yake Kuna Jambo tu nalitafuta. Nimemkalia kimya sijamjibu. Nawaza Leo siku ya tatu nimpe jibu gani nakosa, maana nimekwazika hadi natamani nikakamate nikatie adabu.

Mama yake ana udhaifu wa hasira Sana, nikimweleza hili nitaharibu Sana, how can I handle the situation bila kuharibu Mambo?

Karibuni kwa mchango
 
Basi bana, acha nikuache kwakua umesema wewe ni mzee. Otherwise, ingebidi uandike maelezo yasiyopungua page tano, kwanini mpaka leo haujapita kwenye uzi wa kula tunda kimasikhara!

Vijana wa hovyo wangemwambia binti, "hili ni jambo zito, njoo tulizungumze ili tupate suluhu bila ugomvi". Kifuatacho ITV, ni mizengwe!

Huyo binti anatambua ya kuwa anaemfaa mama yake ni baba yake wala sio wewe.. wala huwezi kumfanya lolote.
Bujibuji Simba Nyamaume toa ushauri wa kibusara hapa.
Kuna kitu kinaitwa rejection spirit (roho ya kukataliwa). Mara zote watoto wa kiume ndio hawapendi mama zao wapate wapenzi, ila watoto wa kike wao huwa wanafurahi mama zao wanapopata wapenzi.

Huyu binti kaona kitu ambacho mama yake hajakiona kwasababu mama yuko desperate. Hivyo ana upofu sababu ya mapenzi.

Binti kagundua jamaa ana roho ya kukataliwa. Amekataliwa na wanawake wasio na watoto, pia huenda uchumi umemkataa, na huenda hata heshima imemkataa ndio maana binti anamuona jamaa jau
 
hahah sasa hapo afanyeje?
maana nikipiga picha naona yuko kwenye wakati mgumu kwel!
 
Kuna kitu kinaitwa rejection spirit (roho ya kukataliwa). Mara zote watoto wa kiume ndio hawapendi mama zao wapate wapenzi, ila watoto wa kike wao huwa wanafurahi mama zao wanapopata wapenzi.

Huyu binti kaona kitu ambacho mama yake hajakiona kwasababu mama yuko desperate. Hivyo ana upofu sababu ya mapenzi.

Binti kagundua jamaa ana roho ya kukataliwa. Amekataliwa na wanawake wasio na watoto, pia huenda uchumi umemkataa, na huenda hata heshima imemkataa ndio maana binti anamuona jamaa jau
Do mkuu,huu ushauri au msumari?
 
Nilishawahi kupendwa na lishangazi limoja hv, lina watoto watatu halafu wote wakiume.

Lile lishangazi lilikuwa linajiachia sana na mm bila uoga coz lilikuwa limependa balaa.

yule mtoto wa kwanza akaanza kunichimba mikwara niachane na mama yake. Nilivyomuambia mama mtu alienda kufoka sana, ila yule dogo mpaka leo akiniona hanisalimii ila wadogo zake wote wananipa Respect mpaka leo, ingawa baadae niliamua kuachana na mama yao.
 
Duh wewe unamshauri nn jamaa yetu?
 
Nisiwachoshe jamani.

Kuna mdada nimempenda, nikaona sio mbaya Kama wazee tukakokotana tufike kanani.

Mpenzi wangu ana binti kamaliza chuo majuzi tu, aiseee binti huyu ananichimba mikwara kibao kwenye simu niachane na mama yake.

Mama yake hajui kitu, sijamweleza hili Jambo, Ila binti yake kanipigia simu Mara mbili, na katuma message akitaka nimwache mama yake kwani haoni Kama namfaa mama yake.

Na kafika mbali kuwa anajua mbinu za wanaume, najifanya kumpenda na kumtunza mama yake Kuna Jambo tu nalitafuta. Nimemkalia kimya sijamjibu. Nawaza Leo siku ya tatu nimpe jibu gani nakosa, maana nimekwazika hadi natamani nikakamate nikatie adabu.

Mama yake ana udhaifu wa hasira Sana, nikimweleza hili nitaharibu Sana, how can I handle the situation bila kuharibu Mambo?

Karibuni kwa mchango
Naomba number za huyo bint nikusaidie kumaliza msala bila kuharibu
 
Dah hongera sana mkuu kwa uvumilivu na kutokuwa wakuhamaki,Ila nadhani binti anaweza Kuwa sahihi kwa namna moja au nyingine amekuwa jicho la 3 la mama,amenusa hatari mbele ya safari hivyo anatoa angalizo la kujikagua Kama kweli unastahili au lah,anahitaji wazazi wenye kujiheshimu na sidhani katika umri aliokuwa nao anategemea kumwana mama yake yuko katika mahusiano ya namna hiyo.so ni kweli ni muda sahihi wa wewe Kuwa muwazi kwa huyo mwanamama.

Hebu Ava viatu vya huyo binti alafu uangalie binafsi ungepaswa ufanye nini,binti yuko sahihi kabisa tena mpaka Kaja kwako ujue ameshasumbuana sana na mamayake kuhusu mahusiano yenu ya aibu mbele yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom